Tundu Lissu amkaanga Kikwete

Tundu Lissu amkaanga Kikwete

Mhe Tundu Lissu kanyaga twende mkuu wangu
 
Mkuu kamandamakini kwa picha hizo umemaliza kila kitu! Tundu Lissu Waziri wa sheria na katiba ajaye!!!!,..
 
Iringa sio Jiji wewe acha kudanganya watu labda walikuwa jiji la Iringa la Gamboshi maana wamejaza mifano ya wa
 
hakuna jipya hapo watu wanakusanyika hapo kwa wingi sio kwa kusikiliza sera zenu wengine wapo hapo kutafuta wachumba wangine kuiba na wengine kupoteza muda tu cku iende wanawafanya CDM kama wasanii wakuwaburisha mnapokuwa mnatoa hadithi zenu kama za elfu ulelaulela
 
Ndio maana CCM wanalialia sana, hawajawahi kukutana na umati wa hiari kama huu toka 2005 wakati kikwete akiwa maarufu!
 
Ndio maana CCM wanalialia sana, hawajawahi kukutana na umati wa hiari kama huu toka 2005 wakati kikwete akiwa maarufu!
Hatuangalii umati katika kipindi hiki cha digitally bado mpo kwenye kuangalia umati kama mashindano ya ngoma ( mbina) za malenga wakisukuma hovyo kweli nyie
 
Mapokezi ya Tundu Lissu au Chadema kumbukeni Zitto amewaasa msimamie misingi ya chama chenu na sio kushabikia watu ambopo cku wakifa na chama kitakufa
 


...majangili hiyo nyomi ....imekuja kupata maelekezo ya kuengeneza... herufi za neno.... linaloitwa UKOMBOZI.... sio kuja
kula pilau na kuvaa kanga...kwani kanga na pilau ni sumu kushinda mauti....

.
....mvua haihongwi ....ikihongwa.... ujuwe ni kiangazi.....
 
Mtajifariji kwa maneno matamu ila mtabaki kuwa chama kikuu cha upinzani@ jijengeni sana kabla CHAUMA na ADC hawajawapiku


...majangili hiyo nyomi ....imekuja kupata maelekezo ya kuengeneza... herufi za neno.... linaloitwa UKOMBOZI.... sio kuja
kula pilau na kuvaa kanga...kwani kanga na pilau ni sumu kushinda mauti....

.
....mvua haihongwi ....ikihongwa.... ujuwe ni kiangazi.....
 
Kumbe ile azma yao ya kamati kuu kwamba 2013 ni bandika bandua ya M4C ya kitongoji kwa kitongoji ni ukweli eeee....!
 
Chamaana walichozungumza hapo nini hasa kama siporojo za kwenye gahawa
 
masalia haya = masaburi

msalimie zitto
Jibu hoja ya maana waliyozungumza hapo sio kuanza kumkashifu Zitto @ Mpe salamu mchungaji kuwa Jimbo 2015 linarudi nyumbani aanze kuimarisha upya kanisa lake asije kosa la kufanya
 
Hahahahahahahahahahahahaha
una angaika sana!
hakuna jipya hapo watu wanakusanyika hapo kwa wingi sio kwa kusikiliza sera zenu wengine wapo hapo kutafuta wachumba wangine kuiba na wengine kupoteza muda tu cku iende wanawafanya CDM kama wasanii wakuwaburisha mnapokuwa mnatoa hadithi zenu kama za elfu ulelaulela
 
....Crèche .... wa SIASA... huo umati ni kitongoji tuuu...hata kijijini..hatujafika....kama ni darasani ni a e i o u ... stay tuned.... mziki wa logarithm unakuja....
 
Yeye ana zingatia?
Hahahahahahahahahaha

Mapokezi ya Tundu Lissu au Chadema kumbukeni Zitto amewaasa msimamie misingi ya chama chenu na sio kushabikia watu ambopo cku wakifa na chama kitakufa
 
Wananchi wa Iringa wamefaidika nini na mkutano wa chadema hapo kama sio kupotezewa muda wao wa kuzalisha mali na kukuza pato la taifa hakika nimeanza kuamini chadema wanatumiwa na mabepari kueneza ukoloni mamboleo nchini
 
Back
Top Bottom