Tumemzoea Tundu Lisu hana Jipya coz kwake yeye kutaja Jina la la Rais Kikwete nikama kiitikio cha chorus katika hotuba zakeMbunge na mnazimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni amemtaka Rais Kikwete aache kuingilia tume ya kukusanya maoni ya katiba,haya ameyasema Tundu Lisu katka mkutano wa hadhara mjini Iringa.
Tumemzoea Tundu Lisu hana Jipya coz kwake yeye kutaja Jina la la Rais Kikwete nikama kiitikio cha chorus katika hotuba zake
Leo Mh.Lisu akiwa katika viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa amewaeleza wananchi kuwa rais(JK) amevunja sheria ya marekebisho ya katiba mpya kwenye hotuba ya kuuaga mwaka 2012 pale alipogeuka kuwa msemaji wa tume ya mabadiliko ya katiba kabla ya tume hiyo kumaliza mchakato huo kama sheria hiyo inavyotaka baada ya kuwatangazia wananchi kuwa tume itamaliza kazi mwezi mei,2013 na bunge la katiba litaitishwa mwezi Novemba,2013.Hivyo amempa JK siku 14 kujibu tuhuma hizo.kumbe uliwahi kusikia bac sio kweli ulisikia kimakosana jk nae niliwah sikia anamhofia LISSU kwenye kampeni 2010
Kwa sasa Rais yuko juu ya Sheria japo tunadanganyana kinadharia. Labda rais mpya na katiba mpya itatupa jamii iliyostaarabika
Tumemzoea Tundu Lisu hana
Jipya coz kwake yeye kutaja Jina la la Rais Kikwete nikama kiitikio cha
chorus katika hotuba zake
Hoja ya T.L ni hii
1-tume ya kukusanya maoni inasheria zake ambazo zinatamka wazi kuwa tume haaitaingiliwa na rais wala mamlaka mengine.
2-tume imetamka dhairi katika sheria yake kuwa mda wa kukusanya maoni ni miezi kadhaa sikumbuki vzr tarehe ya mwisho
3-baada ya tume kukamilisha mda na kazi ya kukusanya maoni ikawa haijaisha basi tume itaomba kuongezewa mda kwa Rais wa Tanzania na yule wa Zanzibar ambao nao mamlaka yao yana ruhusu waongeze mda wa miezi miwili tu
4-tume ikikamilisha kila kitu ndipo inawasilisha majumuisho kwa rais ambae nae atapewa mwezi mzima wa kuyapitia kisha ndipo bunge likae kuyajadili
Sasa hoja za lisu ni hapa
1-rais kesha tamka kuwa bunge litakaa mwisho wa mwezi wa 11 yeye kaambiwa na nani kuwa mda huo tume itakua imemaliza kazi?
2-rais kapewa na nani mamlaka ya kuisemea tume mda ikiwa sheria ya tume imetamka atotakiwa mtu yoyote kuingilia tume na mwenye mamlaka ni mwenyekiti wa tume Warioba?
3-rais anajuaje kama wabunge wataipitisha hiyo katiba mpaka ahaidi katika hotuba yake kuwa watnzania watakuwa na katiba mpya ifikapo 2014?
4-mpaka sasa wananchi hawajafikiwa vyakutosha sasa rais anahakika gani kama wananchi watakubaliana na namna maoni yalivyo chukuliwa?
Kifupi ndivyo nilivyomwelewa Lisu kama kuna aliemwelewa zaidi aweza kunirekebisha ingawawa aliongea mengi pia
TL mwambieni asiwe na wasiwasi JK hakuwa na maana mbaya, alikosa la kuzungumza la kuwapa WaTanzania matumaini zaidi ya hiyo, angesemea migomo? Mauaji ya Polisi, vijembe vya bungeni kuwa yeye ni dhaifu nk nk