hakuna jipya hapo watu wanakusanyika hapo kwa wingi sio kwa kusikiliza sera zenu wengine wapo hapo kutafuta wachumba wangine kuiba na wengine kupoteza muda tu cku iende wanawafanya CDM kama wasanii wakuwaburisha mnapokuwa mnatoa hadithi zenu kama za elfu ulelaulela
Mapokezi ya Tundu Lissu au Chadema kumbukeni Zitto amewaasa msimamie misingi ya chama chenu na sio kushabikia watu ambopo cku wakifa na chama kitakufa
Huyu Mchungaji kila kukicha Ni mikutano tu, sijui kazi anafanya saa ngapi
hakuna jipya hapo watu wanakusanyika hapo kwa wingi sio kwa kusikiliza sera zenu wengine wapo hapo kutafuta wachumba wangine kuiba na wengine kupoteza muda tu cku iende wanawafanya CDM kama wasanii wakuwaburisha mnapokuwa mnatoa hadithi zenu kama za elfu ulelaulela
Tumemzoea Tundu Lisu hana Jipya coz kwake yeye kutaja Jina la la Rais Kikwete nikama kiitikio cha chorus katika hotuba zake
Wale wa Kibaha waliokwenda kusikiliza mafanikio ya sera za chama ya matusi toka kwa Mh.Mwigulu haikuwapotezea muda.
Wananchi wa Iringa wamefaidika nini na mkutano wa chadema hapo kama sio kupotezewa muda wao wa kuzalisha mali na kukuza pato la taifa hakika nimeanza kuamini chadema wanatumiwa na mabepari kueneza ukoloni mamboleo nchini
Huyu Mchungaji kila kukicha Ni mikutano tu, sijui kazi anafanya saa ngapi
Ingekuwa patamu hako ka jukwaa kateleze manake naona kana matairi kabisa
magamba yanapapatuka
Mbunge na mnazimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni amemtaka Rais Kikwete aache kuingilia tume ya kukusanya maoni ya katiba,haya ameyasema Tundu Lisu katka mkutano wa hadhara mjini Iringa.
Wananchi wamefaidika nini na genge la wahuni(CCM) kutawala miaka zaidi ya 50?