Tundu Lissu amjibu Fred Mpendazoe

Tundu Lissu amjibu Fred Mpendazoe

Maskini Tundu Lissu.
Hata kama mna ajenda ya ufisadi, HAMUUZIKI KWA WATANZANIA WENGI WENYE AKILI, hamsomeki! Nani atawaamini kuwa mtachosema ni kweli na mna maanisha??
sema kwa wenye akili kama yako Tu sio wote wenye akili. Tupo na tunazo za kutosha na tumenwelewa. Magu mbona hatumbui majipu ya escrow, EPA,bot nk.. Kama kweli mwanaume aguse uda na stanbic
 
Hizo kura 6m ni za vyama karibia Vinne ,et slaa yeye aloweka msingi na ndo lowasa aliotembelea
Naona siku ya leo wala viwavi hamna lolote mnalo andika zaidi kuhoroja,na hapo ndio masaa 18 tu ya katibu mkuu mpya wa cdm
 
Hiyo agenda ya ufisadi tutavuta subira sana tu, wakiwa na Lowassa hawatathubutu ng'o
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, Mtaendelea kuumiza vichwa vyenu maana toka 2.2m hadi 6m bado mnaendelea kujipa imani kuwa cdm inakufa?mtasubiri sana magamba
 
Mwaka 2010 tulishinda ubunge majimbo ya Maswa Magharibi na Mashariki, Bukombe na Meatu, Ilemela, Nyamagana na Ukerewe na Biharamulo na Musoma Mjini.

Yote haya yako Kanda ya Ziwa. Mwaka jana tumeyapoteza yote isipokuwa Ukerewe. Swali ni je, tuliyashinda kwa sababu ya Mh. Mbowe na, kwa hiyo, tumeyapoteza kwa sababu yake??? Tumeshinda Tarime Mjini na Vijijini, Bunda Mjini, Serengeti na Bukoba Mjini, yote katika Kanda hiyo. Je, huko tulikoshinda Mbowe alipeleka nguvu kubwa kuliko tulikoshindwa???.

Kuhusu Lowassa, takwimu za Tume zinaonyesha alipata kura milioni 6 au 40% ya kura zote. Mwaka 2010 Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 au 27% ya kura zote. Nani kati ya wawili hawa anaaminika zaidi na waTanzania kama kura ni kielelezo cha uungwaji mkono??? Nani alikuwa mgumu kuuzwa kwa wapiga kura hapa???.

Tatu, nani aliyemuondoa Dr. Slaa CHADEMA na nani hasa aliyemleta Lowassa. Ushahidi ulioko hadharani na ambao haujakanushwa ni kwamba Dr. Slaa alishiriki katika kila hatua ya kumleta Lowassa CHADEMA.

Alipofanikisha kazi hiyo akakimbia chama na kwenda kumtumikia kafiri. Sasa anaishi ughaibuni Canada na haijulikani kwa gharama za nani. Mwisho, Magufuli ametengua maamuzi kuhusu Tegeta Escrow na kuwarudisha kazini Prof. Muhongo, Change, n.k. Anayedai hatuna agenda ya ufisadi avute subira ili apate kheri.
Tundu Lissu
Mkuu bado namuona Dr slaa ni nyota,kwa sababu huwezi kufananisha 2010 ambayo chadema ilisimana peke yake,na ukafananisha na 2015 ambayo lowasa alipigiwa kura na vyama vinne,harafu 2010 walipiga kura watu milion 8,na mwaka 2015 walipiga kura watu milion 15,unaweza kuelewa hapo namanisha nin
 
Mwaka 2010 tulishinda ubunge majimbo ya Maswa Magharibi na Mashariki, Bukombe na Meatu, Ilemela, Nyamagana na Ukerewe na Biharamulo na Musoma Mjini.

Yote haya yako Kanda ya Ziwa. Mwaka jana tumeyapoteza yote isipokuwa Ukerewe. Swali ni je, tuliyashinda kwa sababu ya Mh. Mbowe na, kwa hiyo, tumeyapoteza kwa sababu yake??? Tumeshinda Tarime Mjini na Vijijini, Bunda Mjini, Serengeti na Bukoba Mjini, yote katika Kanda hiyo. Je, huko tulikoshinda Mbowe alipeleka nguvu kubwa kuliko tulikoshindwa???.

Kuhusu Lowassa, takwimu za Tume zinaonyesha alipata kura milioni 6 au 40% ya kura zote. Mwaka 2010 Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 au 27% ya kura zote. Nani kati ya wawili hawa anaaminika zaidi na waTanzania kama kura ni kielelezo cha uungwaji mkono??? Nani alikuwa mgumu kuuzwa kwa wapiga kura hapa???.

Tatu, nani aliyemuondoa Dr. Slaa CHADEMA na nani hasa aliyemleta Lowassa. Ushahidi ulioko hadharani na ambao haujakanushwa ni kwamba Dr. Slaa alishiriki katika kila hatua ya kumleta Lowassa CHADEMA.

Alipofanikisha kazi hiyo akakimbia chama na kwenda kumtumikia kafiri. Sasa anaishi ughaibuni Canada na haijulikani kwa gharama za nani. Mwisho, Magufuli ametengua maamuzi kuhusu Tegeta Escrow na kuwarudisha kazini Prof. Muhongo, Change, n.k. Anayedai hatuna agenda ya ufisadi avute subira ili apate kheri.
Tundu Lissu
Katika historia ya ukuaji wa vyama vya upinzani duniani CHADEMA haifanyi vibaya, labda TLP, NCCR na vingine. Sababu kila uchaguzi inaongeza %, sasa nani anapoteza asilimia hiyo sijui. Pili asilimia kubwa ya wanachama wake ni vijana, kwa hiyo kina uhai wa miaka kadhaa ijayo, cha msingi ni kubadilisha tactics tu. Kwa ujamla na usifu uongozi wa juu wa CDM. Wanao piga kelele ni wale wanao poteza hizo asilimia ambazo zinaongezeka kila uchaguzi CDM.
 
Tundu Lissu ni mtu makini lakini anazidi kuonesha umakini wake unaishia wapi ....hapo hajajibu bali kapiga siasa ....kapiga propaganda ....kwanza ENL kakuta chama tayari kina mtaji mkubwa ndio maana hakwenda ACT wala NCCR ....pili uchaguzi uliopita kama Lipumba angesimama CUF hizo kura zisingefika na mchuano upande wa CDM bila Dr Slaa ungekuwa mgumu zaidi .....nguvu ya UKAWA na Chadema iliyokuwa imeandaliwa vyema ikiwemo kupandikiza chuki kiasi cha kutosha dhidi ya CCM ilisaidia sana .....ENL aliongeza fedha zilizosaidia kampeni linganifu na CCM lakini si sababu ya kukubalika kwake .....Tundu Lissu amejijengea sifa za kizalendo ....azilinde asiyumbishwe na chuki dhidi ya akina Dr Slaa , Zitto na wengine waliokataa imla za Mbowe ....

POISON GUY, WATCH OUT
 
Tundulisu inampasa alinganishe kura kwa zidio na si wingi wa kura.Kikwete alipata kura milion 5,Slaa alipata kura milioni 2 na ushee zidio ni kula milioni tatu.Magufuli kura milion 8 El kura milion 6 na zidio kura milion 2.

Ukifanya tathmini kimahesabu unaona Slaa alikuwa anakubalika zaidi.Maana Slaa alishindana na vyama vyenye nguvu kidogo kama Cuf na NCCR.Ongezeko la wapiga kura wengi wao walikuwa vijana.Hawa vijana hata CDM wangemsimamisha Yeriko Nyerele wangempigia kura maana walikuwa radhi kupigia hata jiwe.

Yatupasa tuiangalie chadema baada ya uchaguzi ushawishi uliongezeka au ulipungua katika chaguzi zote mbili nafikiri tutapata jawabu mujarabu.
 
Namheshimu sana Tundu Lissu, ila wakati mwingine huwa anaamua kutoa majibu rahisi kuwafurahisha wakubwa zake.

Anaongelea kura za uchaguzi mkuu anasahau unasahau kuwa hizo kura zimetokea kwenye uchaguzi serikali za mitaa ambako ndio msingi mkuu.
unaulizwa Slaa anaishi Canada kwa garama za nani?
 
Jibu zuri sana. Kura mil. 6 za Chadema, CUF, NCCR na NLD. hahaa
Kweli nyie mazuzu...
Haingaisha kidogo brain yako, fanya sampling ya kura ya hivyo vyama kwa kupitia uchaguzi mkuu wa 2010 halafu angalia mchango wao wa kura wa 2015.
 
Eti Magufuli kamchagua Change, hii inaonyesha wazima jinsi gani CHADEMA wamechanganikiwa.
Lissu ni bora atulie tu, arudi zake singida hata Division zero Mbowe amemuona hafai kuwa katibu mkuu kwa sababu ni mkurupukaji na anaongozwa na mihemko.
Watanzania ni watu wa ajabu sana,wanamuona Magufuri kama malaika kiasi kwamba naye Magufuri kujipachika eti rais wa mailaika kule mbinguni,watanzania ni mabingwa wa kuridhika na kusahau kwa haraka na kujipa matumaini hewa.
Magufuri ni binadamu na zaidi ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine na hata rekodi za utendaji wake zinaonyesha jinsi alivyotumia siasa kujinufaisha yeye binafsi.
Nadhani no muhimu Kwa watanzania kuwa name japo tafakuri,kipimo na subra kabla ya kutoa hitimisho,experience always a good teacher,don't bank on politicians they do change colours like chameleon.
 
sema kwa wenye akili kama yako Tu sio wote wenye akili. Tupo na tunazo za kutosha na tumenwelewa. Magu mbona hatumbui majipu ya escrow, EPA,bot nk.. Kama kweli mwanaume aguse uda na stanbic
Jichuje mwenyewe, nimesema watanzania wengi wenye akili!
 
Wewe ni kilaza mkubwa tu na mywa kimpumu
Oyaaa!
JPM katisha, mkutano wa Mwanza naona Magu keshamwagia maji moto huo, wote mmehamia kwa ishu ya Makonda!
P.s: jana kuna mtu alisema ianzishwe uzi wa vilaza tupige kura hapa jf, KURA YANGU UNAYO KAMANDA.
 
Oyaaa!
JPM katisha, mkutano wa Mwanza naona Magu keshamwagia maji moto huo, wote mmehama kama jankwa ishu ya Makonda!
P.s: jana kuna mtu alisema ianzishwe uzi wa vilaza tupige kira hapa jf, KURA YANGU UNAYO KAMANDA.
Kampigie mamako ili achukue uongozi kona bar kwa kazi za usiku wa manane
 
...Lissu ni nguzo makini ya chadema...yeye ukweli ndio unaomweka huru..ndio maana hamwogopi mtu....hata mkwere Lissu alikuwa hamwogopi...na inaelekea JPM pia atakuwa na kazi kweli kwa Lissu...maana hoja za Lissu siku zote zina mashiko....Alishosahau Lissu kumwongezea Mpendazoe ni kuwa yeye alikosa ubunge dar mwaka 2010....na mwaka huu kaukosa tena huko kwao....hivyo hana hoja kwa kumpinga Mbowe....amesahau kuwa Mbowe alichaguliwa kwenye vikao halali...na pia ameshinda ubunge kwa kishindo kwake..

.....seems Mpendazoe anajuta kuhama ccm...maana alichotaka (madaraka/ubunge)hajakipata....anasahau kuwa wenzake(wabunge)walipambana vilivyo wakauzika kwa wananchi wao na si kubebwa na kina Mbowe....ajifunze kwa vijana kama Mdee...Mnyika...Kubenea na Bulaya...
 
Kimantiki Lowasa alipata kura chache kuliko Dr Slaa. Watu hili suala mnali bypass kwa makusudi .
1. Dr Slaa wakati ule ule alipigiwa kampeni na CHADEMA tu chama kimoja.

2. Lowasa aliungwa na vyama 4. kwa maana ya CUF , NCCR CHADEMA na wale.
3.Hadi SLaa anaondoka 2015 alikuwa amekijenga chama tofauti na 2010.
4. DR Slaa alipambana na Rais, sio mpya kama Lowasa aliyepambana naye.
5. Last but not Least, DR alipigiwa kura na wanachadema na undicided wakati lowasa amepigiwa kura na CUF NCCR na wale pia undecided.

6. Ukija wabunge tafuteni ratio ya DR Slaa kabla ya 2010 CHADEMA ilikuwa na wabunge wangapi kisha mgawe na wabunge baada ya 2010. Mkimaliza hilo pia gaweni wabunge wa 2015 na wabunge 2016. muungalie ratio ndo mtaona nani ni nani. Msifanye kazi kwa namba zisizo pembuzi.

Hivyo, arguably DR SLaa was far ahead compared na Lowasa.
 
Namheshimu sana Tundu Lissu, ila wakati mwingine huwa anaamua kutoa majibu rahisi kuwafurahisha wakubwa zake.

Anaongelea kura za uchaguzi mkuu anasahau unasahau kuwa hizo kura zimetokea kwenye uchaguzi serikali za mitaa ambako ndio msingi mkuu.
Kwani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA walifikisha asilimia 40?
 
Kwa lipi? Alichosema hapo? Unaona kuna point?? Dah, basi mi "kilaza", nimeona ni pumba tupu!
Mkuu kama ambavyo umejinukuu mwenyewe wewe ni kilazi sanaa kwa sababu kama huna data huna haki ya kusema, mwenzako ameweka data ku-back up arguments zake, sasa wewe unabisha empty handed...
 
Back
Top Bottom