Tundu Lissu amjibu Fred Mpendazoe

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,972
14,488
TUNDU LISSU AMJIBU Fred Mpendazoe TUNDU LISSU AMJIBU Fred Mpendazoe ~ MUUNGWANA BLOG
 
Mwaka 2010 tulishinda ubunge majimbo ya Maswa Magharibi na Mashariki, Bukombe na Meatu, Ilemela, Nyamagana na Ukerewe na Biharamulo na Musoma Mjini.

Yote haya yako Kanda ya Ziwa. Mwaka jana tumeyapoteza yote isipokuwa Ukerewe. Swali ni je, tuliyashinda kwa sababu ya Mh. Mbowe na, kwa hiyo, tumeyapoteza kwa sababu yake??? Tumeshinda Tarime Mjini na Vijijini, Bunda Mjini, Serengeti na Bukoba Mjini, yote katika Kanda hiyo. Je, huko tulikoshinda Mbowe alipeleka nguvu kubwa kuliko tulikoshindwa???.

Kuhusu Lowassa, takwimu za Tume zinaonyesha alipata kura milioni 6 au 40% ya kura zote. Mwaka 2010 Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 au 27% ya kura zote. Nani kati ya wawili hawa anaaminika zaidi na waTanzania kama kura ni kielelezo cha uungwaji mkono??? Nani alikuwa mgumu kuuzwa kwa wapiga kura hapa???.

Tatu, nani aliyemuondoa Dr. Slaa CHADEMA na nani hasa aliyemleta Lowassa. Ushahidi ulioko hadharani na ambao haujakanushwa ni kwamba Dr. Slaa alishiriki katika kila hatua ya kumleta Lowassa CHADEMA.

Alipofanikisha kazi hiyo akakimbia chama na kwenda kumtumikia kafiri. Sasa anaishi ughaibuni Canada na haijulikani kwa gharama za nani. Mwisho, Magufuli ametengua maamuzi kuhusu Tegeta Escrow na kuwarudisha kazini Prof. Muhongo, Change, n.k. Anayedai hatuna agenda ya ufisadi avute subira ili apate kheri.
Tundu Lissu
 
Namheshimu sana Tundu Lissu, ila wakati mwingine huwa anaamua kutoa majibu rahisi kuwafurahisha wakubwa zake.

Anaongelea kura za uchaguzi mkuu anasahau unasahau kuwa hizo kura zimetokea kwenye uchaguzi serikali za mitaa ambako ndio msingi mkuu.
 
Namheshimu sana Tundu Lissu, ila wakati mwingine huwa anaamua kutoa majipu rahisi kuwafurahisha wakubwa zake.

Anaongelea kura za uchaguzi mkuu anasahau unasahau kuwa hizo kura zimetokea kwenye uchaguzi serikali za mitaa ambako ndio msingi mkuu.
Kwenye hizo za serikali za mitaa Mbowe hakuwepo?
 
Mwaka 2010 tulishinda ubunge majimbo ya Maswa Magharibi na Mashariki, Bukombe na Meatu, Ilemela, Nyamagana na Ukerewe na Biharamulo na Musoma Mjini.

Yote haya yako Kanda ya Ziwa. Mwaka jana tumeyapoteza yote isipokuwa Ukerewe. Swali ni je, tuliyashinda kwa sababu ya Mh. Mbowe na, kwa hiyo, tumeyapoteza kwa sababu yake??? Tumeshinda Tarime Mjini na Vijijini, Bunda Mjini, Serengeti na Bukoba Mjini, yote katika Kanda hiyo. Je, huko tulikoshinda Mbowe alipeleka nguvu kubwa kuliko tulikoshindwa???.

Kuhusu Lowassa, takwimu za Tume zinaonyesha alipata kura milioni 6 au 40% ya kura zote. Mwaka 2010 Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 au 27% ya kura zote. Nani kati ya wawili hawa anaaminika zaidi na waTanzania kama kura ni kielelezo cha uungwaji mkono??? Nani alikuwa mgumu kuuzwa kwa wapiga kura hapa???.

Tatu, nani aliyemuondoa Dr. Slaa CHADEMA na nani hasa aliyemleta Lowassa. Ushahidi ulioko hadharani na ambao haujakanushwa ni kwamba Dr. Slaa alishiriki katika kila hatua ya kumleta Lowassa CHADEMA.

Alipofanikisha kazi hiyo akakimbia chama na kwenda kumtumikia kafiri. Sasa anaishi ughaibuni Canada na haijulikani kwa gharama za nani. Mwisho, Magufuli ametengua maamuzi kuhusu Tegeta Escrow na kuwarudisha kazini Prof. Muhongo, Change, n.k. Anayedai hatuna agenda ya ufisadi avute subira ili apate kheri.
Tundu Lissu
Dah

Huyu Lissu kichwa kizuri sana
 
Maskini Tundu Lissu.
Hata kama mna ajenda ya ufisadi, HAMUUZIKI KWA WATANZANIA WENGI WENYE AKILI, hamsomeki! Nani atawaamini kuwa mtachosema ni kweli na mna maanisha??
 
Mwaka 2010 tulishinda ubunge majimbo ya Maswa Magharibi na Mashariki, Bukombe na Meatu, Ilemela, Nyamagana na Ukerewe na Biharamulo na Musoma Mjini.

Yote haya yako Kanda ya Ziwa. Mwaka jana tumeyapoteza yote isipokuwa Ukerewe. Swali ni je, tuliyashinda kwa sababu ya Mh. Mbowe na, kwa hiyo, tumeyapoteza kwa sababu yake??? Tumeshinda Tarime Mjini na Vijijini, Bunda Mjini, Serengeti na Bukoba Mjini, yote katika Kanda hiyo. Je, huko tulikoshinda Mbowe alipeleka nguvu kubwa kuliko tulikoshindwa???.

Kuhusu Lowassa, takwimu za Tume zinaonyesha alipata kura milioni 6 au 40% ya kura zote. Mwaka 2010 Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 au 27% ya kura zote. Nani kati ya wawili hawa anaaminika zaidi na waTanzania kama kura ni kielelezo cha uungwaji mkono??? Nani alikuwa mgumu kuuzwa kwa wapiga kura hapa???.

Tatu, nani aliyemuondoa Dr. Slaa CHADEMA na nani hasa aliyemleta Lowassa. Ushahidi ulioko hadharani na ambao haujakanushwa ni kwamba Dr. Slaa alishiriki katika kila hatua ya kumleta Lowassa CHADEMA.

Alipofanikisha kazi hiyo akakimbia chama na kwenda kumtumikia kafiri. Sasa anaishi ughaibuni Canada na haijulikani kwa gharama za nani. Mwisho, Magufuli ametengua maamuzi kuhusu Tegeta Escrow na kuwarudisha kazini Prof. Muhongo, Change, n.k. Anayedai hatuna agenda ya ufisadi avute subira ili apate kheri.
Tundu Lissu
Hizo kura 6m ni za vyama karibia Vinne ,et slaa yeye aloweka msingi na ndo lowasa aliotembelea
 
Hiyo agenda ya ufisadi tutavuta subira sana tu, wakiwa na Lowassa hawatathubutu ng'o
 
Mwaka 2010 tulishinda ubunge majimbo ya Maswa Magharibi na Mashariki, Bukombe na Meatu, Ilemela, Nyamagana na Ukerewe na Biharamulo na Musoma Mjini.

Yote haya yako Kanda ya Ziwa. Mwaka jana tumeyapoteza yote isipokuwa Ukerewe. Swali ni je, tuliyashinda kwa sababu ya Mh. Mbowe na, kwa hiyo, tumeyapoteza kwa sababu yake??? Tumeshinda Tarime Mjini na Vijijini, Bunda Mjini, Serengeti na Bukoba Mjini, yote katika Kanda hiyo. Je, huko tulikoshinda Mbowe alipeleka nguvu kubwa kuliko tulikoshindwa???.

Kuhusu Lowassa, takwimu za Tume zinaonyesha alipata kura milioni 6 au 40% ya kura zote. Mwaka 2010 Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 au 27% ya kura zote. Nani kati ya wawili hawa anaaminika zaidi na waTanzania kama kura ni kielelezo cha uungwaji mkono??? Nani alikuwa mgumu kuuzwa kwa wapiga kura hapa???.

Tatu, nani aliyemuondoa Dr. Slaa CHADEMA na nani hasa aliyemleta Lowassa. Ushahidi ulioko hadharani na ambao haujakanushwa ni kwamba Dr. Slaa alishiriki katika kila hatua ya kumleta Lowassa CHADEMA.

Alipofanikisha kazi hiyo akakimbia chama na kwenda kumtumikia kafiri. Sasa anaishi ughaibuni Canada na haijulikani kwa gharama za nani. Mwisho, Magufuli ametengua maamuzi kuhusu Tegeta Escrow na kuwarudisha kazini Prof. Muhongo, Change, n.k. Anayedai hatuna agenda ya ufisadi avute subira ili apate kheri.
Tundu Lissu
Lissu hajui hesabu,mwaka 2015 vyama vinne vimemwombea kura Lowasa,wakati 2010 chadema ilipambana yenyewe....mwaka 2010 Slaa alipata asilimia 27 na Lipumba alipata 11 ukijumlisha unapata asilimia 38..Lowasa kapata asilimia 39 kura za vyama vya NLD,NCCR,CUF na Chadema kwahivyo kiuwiano wa asilimia hakuna tofauti ya maana.
 
Tundu Lissu ni mtu makini lakini anazidi kuonesha umakini wake unaishia wapi ....hapo hajajibu bali kapiga siasa ....kapiga propaganda ....kwanza ENL kakuta chama tayari kina mtaji mkubwa ndio maana hakwenda ACT wala NCCR ....pili uchaguzi uliopita kama Lipumba angesimama CUF hizo kura zisingefika na mchuano upande wa CDM bila Dr Slaa ungekuwa mgumu zaidi .....nguvu ya UKAWA na Chadema iliyokuwa imeandaliwa vyema ikiwemo kupandikiza chuki kiasi cha kutosha dhidi ya CCM ilisaidia sana .....ENL aliongeza fedha zilizosaidia kampeni linganifu na CCM lakini si sababu ya kukubalika kwake .....Tundu Lissu amejijengea sifa za kizalendo ....azilinde asiyumbishwe na chuki dhidi ya akina Dr Slaa , Zitto na wengine waliokataa imla za Mbowe ....
 
Ikumbukwe chuki ya ufisadi wa Escrow iliwapa ukawa serikali za mitaa nyingi 2014 hadi ACT walishinda,ujio wa Lowassa uliuwa sumu ya escrow kwa richmond,CCM ikapata pa kutokea badala ya kuelezea umma chadema wakajikita kumpa sifa Magufuli kwamba yeye sio tatizo,tatizo ni "mfumo"...mara "bora mwizi mmoja" kwa kifupi Mbowe katunyima fursa ya kujuwa juhudi halisi za upinzani zingekuwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom