Tundu Lissu amjibu Fred Mpendazoe

Tundu Lissu amjibu Fred Mpendazoe

Lissu hajui hesabu,mwaka 2015 vyama vinne vimemwombea kura Lowasa,wakati 2010 chadema ilipambana yenyewe....mwaka 2010 Slaa alipata asilimia 27 na Lipumba alipata 11 ukijumlisha unapata asilimia 38..Lowasa kapata asilimia 39 kura za vyama vya NLD,NCCR,CUF na Chadema kwahivyo kiuwiano wa asilimia hakuna tofauti ya maana.
ukitoa aslimia za vyama vingine lowasa alipata 10% chukua vyama 4 ugawe kwa 40% uzidishe 100 utapata asilimia za lowasa wakat slaa alipata 27%
 
Namheshimu sana Tundu Lissu, ila wakati mwingine huwa anaamua kutoa majibu rahisi kuwafurahisha wakubwa zake.

Anaongelea kura za uchaguzi mkuu anasahau unasahau kuwa hizo kura zimetokea kwenye uchaguzi serikali za mitaa ambako ndio msingi mkuu.
we jamaa ni kilaza sana...kwa hiyo Serikali za mitaa baba yako ndo alikuwa mwnyekitu au!? Hapa hoja ni uwepo wa Mbowe kwenye uenyekiti na mafanikia yake!
 
Namheshimu sana Tundu Lissu, ila wakati mwingine huwa anaamua kutoa majibu rahisi kuwafurahisha wakubwa zake.

Anaongelea kura za uchaguzi mkuu anasahau unasahau kuwa hizo kura zimetokea kwenye uchaguzi serikali za mitaa ambako ndio msingi mkuu.
mtu yeyote makini anajua kwamba kwa habari ya umaarufu na ushawishi kuelekea uchaguzi mkuu uliopita lowasa ndiye alikuwa mwanasiasa maarufu kuliko wote nchini, ni ukweli ulio wazi kwamba endapo Dr slaa angepitishwa na chadema au ukawa harafu ccm wangempitisha lowasa kama mgombea ni dhahili Dr slaa asingepata zaidi ya 20% ya kura
 
Dah

Huyu Lissu kichwa kizuri sana

Dada uwe unakaza kidogo atakuingiza chaka 2015 ilikuwa ukawa yaani Chadema, CUF na NCCR walichanga kura ukienda between lines utaona CCM ilishinda vilevile ni Slaa 27% Lipumba 11% wengine 1%, Lowasa na Mbeleko yote ya UKAWA ni 39% manake Lissu hajui namba ni longo longo.

2010 Idadi ya kura na asilimia kwa kila chama ni kama ifuatavyo:
1. APPT Maendeleo - 96,933 – 1.12%

2. Chama Cha Mapinduzi – 5,276,827 – 61.17%

3. CHADEMA – 2,271,941 – 26.34%

4. CUF – 695,667 – 8.06%
5. NCCR Mageuzi – 26,388 – 0.31%
6. TLP – 17,482 – 0.20%
7. UPDP – 13,176 – 0.15%
 
Back
Top Bottom