The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Namheshimu sana Tundu Lissu, ila wakati mwingine huwa anaamua kutoa majibu rahisi kuwafurahisha wakubwa zake.
Anaongelea kura za uchaguzi mkuu anasahau unasahau kuwa hizo kura zimetokea kwenye uchaguzi serikali za mitaa ambako ndio msingi mkuu.
Eti nini!?....Umesemaje hapa? Kura za Edward Lowassa milioni sita na ushee sawa na takribani 40% ya kura zote zimetoka ktk uchaguzi wa serikali za mitaa?
Hebu fafanua au tueleze umekula maharage ya wapi leo mpaka unawaza hivi?