Tundu Lissu alivyokuwa anatudanganya kuwa mchanga wa makinikia sio mali yetu ni mali ya wazungu

Lisu alikua kiongozi bungeni wa kupiga kelele kua mikataba mibovu ya madin serekal Chin ya Rais John pombe magufuli wakaamua kuivunja Ile mikataba Cha ajabu tundulisu uyo uyo akaanza kuiponda serekal na kitaka iache Mara moja na kusema tutashtakiwa Sasa leo serekal imeshinda hata Kama kwa kias kidogo tunacho pokea so lazima tundulisu atueleze alipo kua anasema Yale alikua anaongea kwa maslai ya nan
Kila kitu katika ardhi ya tanzania ni Mali yetu Lakin tatizo linakuja kwa viongozi wetu wakubwa kufanya mikataba mibovu na hao mabeberu lisu aliangalia hiyo mikataba Kwanza ndio akatoa hoja akukurupuka kama ulivyokurupuka wewe hapo
 
Kosa la Lisu lilikuwa lipi hapo?
Alichosema kuhusu MIGA ni sahihi kabisa kwamba inawalinda dhidi ya expropriation na serikali hivyo kuzuia bila kujitoa MIGA kunaweza leta risk ya kushtakiwa. Sasa kushauri hivi ni usaliti?

2.Report ya prof Osoro ameita rubbish yes ni rubbish ndio maana haikua basis ya majadiliano ya makinikia. Otherwise ile bill ya TRA Trillion 400 ingekua imelipwa ila tumeishia kusettle kwa chini ya 5% ya madai yetu. Shida ilikua over estimations!! Yaani makinikia tu trillion 400 je tofali za dhahabu? Actually hilo deni ni zaidi hta ya mtaji wa Acacia!!! Ilipimwa sio kwa maabara cerified kimataifa n.k so yes it was rubbish at least to experts.

3. Kisheria ile dhahabu na mchanga ni wa mwekezaji ila serikali hali yake ni kodi na mrabaha. Hata magufuli alipokamata ni kwamba anadai kodi na mrabaha sio kwamba ule mchanga ni wetu 100% bali kodi yetu ipo pale. So sijui hapo kapotosha nini.

4 Kingine lissu kasema tunaibiwa kupitia sheria Mbovu yes sheria mbovu, ilipaswa thresholds ya pesa inayopatikana kubaki nchini iongezwe ili kuyapa mabenki ukwasi. Mrabaha wa 3% ulikua wizi na pia issue za tax pia, ssa nadhani huo ushauri wa kubadilisha sheria ulikua mzuri kuliko kwanza kupambana na hao. Kma utakumbuka kabla ya majidiliano serikali ilibadili sheria haraka sana na ndio hiko Lissu alitaka otherwise kusingebadilika kitu maana sheria inawafunga.

Lissu alieleweka sana kwa watu walioenda shule kuwa alitoa alternative approach ya kukamata wezi bila kubanwa na sheria. Sasa sijafahamu alifanya kosa kushauri?

Anyway nasubiri kuona hao wote waliohusika na huu wizi wakiburuzwa mahakama ya mafisadi!!

Cc USSR Drone Camera
Sasa huu mchanga sio mali ya Tanzania? Maana Tanzania ina hisa Twiga minerals na economic profit ni 50% kwa 50%. Na upouzwa unauzwa na Twiga minerals ltd.
 
kila mwenye akili anajua tanzania hamna upinzani bt kuna wachumia tumbo

ukiwaona serious majukwaani ujue wanatumikishwa na mabeberu behind the scene wanatudanganya ni wazalendo, hakuna uzalendo wakutetea upumbafu dhidi ya mali za taifa
 
kila mwenye akili anajua tanzania hamna upinzani bt kuna wachumia tumbo

ukiwaona serious majukwaani ujue wanatumikishwa na mabeberu behind the scene wanatudanganya ni wazalendo, hakuna uzalendo wakutetea upumbafu dhidi ya mali za taifa
 
Hata io Inatosha nyie si mlisema. Hatuwezi kulipwa hata Mia Ila tutawalipa wao pia hii Mia Sio kwamba wamemaliza kulipa Ila Kuna Mia mbili na Tanzania tuna hisa kwenye kampuni pia tunakula 50kwa 50 mwaka huu mtajibeba
Nani alisema hatulipwi Hata senti? Tulisema sio kiasi kile cha akina Osoro walikuwa wanasanii, dollar bilion 950, Unajua dhihaka ya kilamtu atapata Noah ilianzaje? Au hufuatilii mambo au huelewi?
 
Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama


Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni

Mzee w MIGA!
 
Wewe hata 4m4 hajafaulu na kama kweli umefaulu prove me wrong nitatembea uchi mwaka mzima.

Haya unayoyasema sio maneno ya Lissu ni nukuu aliyofanya Lissu kutokana na sheria zetu za madini.

Ungekuwa na akili ungefatilia kwanza kuhusu iyo sheria je ni kweli imesema mchanga sio mali yetu?

WanaCCM wako ndyo wamepitisha hizi sheria na mikataba wameficha sababu ukiiona hutatamani CCM iendelee kuwa madarakani tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu alikua kiongozi bungeni wa kupiga kelele kua mikataba mibovu ya madin serekal Chin ya Rais John pombe magufuli wakaamua kuivunja Ile mikataba Cha ajabu tundulisu uyo uyo akaanza kuiponda serekal na kitaka iache Mara moja na kusema tutashtakiwa Sasa leo serekal imeshinda hata Kama kwa kias kidogo tunacho pokea so lazima tundulisu atueleze alipo kua anasema Yale alikua anaongea kwa maslai ya nan
Lisu hakuponda kuvunja mikataba. Na by the way..hakuna mkataba hata mmoja uliovunjwa mpaka sasa.

Lissu alipingana na approach iliyotumika. Imnagine makinikia yameshikiliwa 4 years bandalini, unajua nchi imepoteza mapato kiasi gani? Tunashangilia kupokea $100m na $40m kila mwaka kwa miaka 5. Huu ni ujingaaa.

Kwa mwaka tu tulitakiwa kupata zaid ya $100m kutokana na haya makinikia. Tumepoteza zaid ya $400m kwa miaka 4. Tunapewa 100 tunajiona tunajua kumbe hatujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom