Tundu Lissu alivyokuwa anatudanganya kuwa mchanga wa makinikia sio mali yetu ni mali ya wazungu

Ifike wakati Watanzania tuufute kabisa huu upinzani wa kijinga uliopo nchini kupitia sanduku la kura october 2020, wameshindwa kabisa kufanya kazi yao ya kutoa mawazo mbadala kwa Serikali badala yake wamekuwa mabingwa wa kutukana na kupinga mambo mazuri yanayofanywa na serikali.Duniani pote upinzani makini hushirikiana na Serikali iliyoko madarakani kujenga nchi,haya ya kwetu kazi yao ni kupinga kila kitu,kutukana viongozi,kuzusha vitu vya ajabu ajabu kama anavyofanya zitto kabwe ,kushabikia upumbavu wa mitandaoni kama afanyavyo kigogo na mange kimambi na mbaya zaidi kuiombea nchi mabaya.Kinacho waacha hoi ni pale dua zao mbaya zinavyofeli,Mungu yu pamoja na Watanzania,Mungu yu pamoja na Serikali,Mungu yu pamoja na Mh.Rais wetu John Pombe Magufuli ndio maana licha ya janga la NZIGE kuzikumba na kuziathiri pakubwa nchi za Afrika Mashariki na kati,nzige hao hao hawajatua Tanzania,maajabu hayo.Janga la Covid-19 limetikisa dunia,Mungu ametusikia Watanzania kwa maombi yetu ndio maana tunapeta tu na huu ugonjwa hautakuwa na athari kwetu.Pigo kuu kwa wapinzani wa nchi hii wanaopenda kupinga kila kitu laja na tena hawataamini,october 2020 siyo mbali.
 
Wapinzan na makamanda wao wa ufipa kinacho wasaidia ni unafki tu

Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama

Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni
Nyuzi zako zinaunganisha kwenye nyuzi nyingine ila ziwe comment. Bila hilo hadhi ya jukwaa hili itashuka maana mwandiko wako ni kama uko darasa la tatu
 
Pambanen na hoja inayo kuhusu maswala ya Uzi NI mm na mods
Nyuzi zako zinaunganisha kwenye nyuzi nyingine ila ziwe comment. Bila hilo hadhi ya jukwaa hili itashuka maana mwandiko wako ni kama uko darasa la tatu
 
Imekua ivi baada ya wadhamin wa tundulisu kushindwa sababu ya kilaza walio nategemea kushindwa kufanya walicho mtuma wakaamua warud kwenye meza ya majadiliano ili waone wanajinusuru vip ili waendelee kufanya biashara na sisi. Tukawapa mashart na wakayakubal tunaona sawa tuendelee kufanya nao Kaz wakizingua wanaondoka tunafanya wenyewe
Hayo ni kwa mujibu wa uhalisia au hisia? Rejea taarifa za Osoro na wenzake juu ya wizi,kodi na marufuku zilizotolewa. Kisha linganisha na kilichotolewa.
 
Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama

Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni

Kosa la Lisu lilikuwa lipi hapo?
Alichosema kuhusu MIGA ni sahihi kabisa kwamba inawalinda dhidi ya expropriation na serikali hivyo kuzuia bila kujitoa MIGA kunaweza leta risk ya kushtakiwa. Sasa kushauri hivi ni usaliti?

2.Report ya prof Osoro ameita rubbish yes ni rubbish ndio maana haikua basis ya majadiliano ya makinikia. Otherwise ile bill ya TRA Trillion 400 ingekua imelipwa ila tumeishia kusettle kwa chini ya 5% ya madai yetu. Shida ilikua over estimations!! Yaani makinikia tu trillion 400 je tofali za dhahabu? Actually hilo deni ni zaidi hta ya mtaji wa Acacia!!! Ilipimwa sio kwa maabara cerified kimataifa n.k so yes it was rubbish at least to experts.

3. Kisheria ile dhahabu na mchanga ni wa mwekezaji ila serikali hali yake ni kodi na mrabaha. Hata magufuli alipokamata ni kwamba anadai kodi na mrabaha sio kwamba ule mchanga ni wetu 100% bali kodi yetu ipo pale. So sijui hapo kapotosha nini.

4 Kingine lissu kasema tunaibiwa kupitia sheria Mbovu yes sheria mbovu, ilipaswa thresholds ya pesa inayopatikana kubaki nchini iongezwe ili kuyapa mabenki ukwasi. Mrabaha wa 3% ulikua wizi na pia issue za tax pia, ssa nadhani huo ushauri wa kubadilisha sheria ulikua mzuri kuliko kwanza kupambana na hao. Kma utakumbuka kabla ya majidiliano serikali ilibadili sheria haraka sana na ndio hiko Lissu alitaka otherwise kusingebadilika kitu maana sheria inawafunga.

Lissu alieleweka sana kwa watu walioenda shule kuwa alitoa alternative approach ya kukamata wezi bila kubanwa na sheria. Sasa sijafahamu alifanya kosa kushauri?

Anyway nasubiri kuona hao wote waliohusika na huu wizi wakiburuzwa mahakama ya mafisadi!!

Cc USSR Drone Camera
 
Kila kitu katika ardhi ya tanzania ni Mali yetu Lakin tatizo linakuja kwa viongozi wetu wakubwa kufanya mikataba mibovu na hao mabeberu lisu aliangalia hiyo mikataba Kwanza ndio akatoa hoja akukurupuka kama ulivyokurupuka wewe hapo
 
Kwenye hiyo video kuna nyumbu nyuma ya nyumbu msomi ananyoosha mkono wake wa kulia. Anashangilia au anajikuna?
 
Kosa la Lisu lilikuwa lipi hapo?
Alichosema kuhusu MIGA ni sahihi kabisa kwamba inawalinda dhidi ya expropriation na serikali hivyo kuzuia bila kujitoa MIGA kunaweza leta risk ya kushtakiwa. Sasa kushauri hivi ni usaliti?

2.Report ya prof Osoro ameita rubbish yes ni rubbish ndio maana haikua basis ya majadiliano ya makinikia. Otherwise ile bill ya TRA Trillion 400 ingekua imelipwa ila tumeishia kusettle kwa chini ya 5% ya madai yetu. Shida ilikua over estimations!! Yaani makinikia tu trillion 400 je tofali za dhahabu? Actually hilo deni ni zaidi hta ya mtaji wa Acacia!!! Ilipimwa sio kwa maabara cerified kimataifa n.k so yes it was rubbish at least to experts.

3. Kisheria ile dhahabu na mchanga ni wa mwekezaji ila serikali hali yake ni kodi na mrabaha. Hata magufuli alipokamata ni kwamba anadai kodi na mrabaha sio kwamba ule mchanga ni wetu 100% bali kodi yetu ipo pale. So sijui hapo kapotosha nini.

4 Kingine lissu kasema tunaibiwa kupitia sheria Mbovu yes sheria mbovu, ilipaswa thresholds ya pesa inayopatikana kubaki nchini iongezwe ili kuyapa mabenki ukwasi. Mrabaha wa 3% ulikua wizi na pia issue za tax pia, ssa nadhani huo ushauri wa kubadilisha sheria ulikua mzuri kuliko kwanza kupambana na hao. Kma utakumbuka kabla ya majidiliano serikali ilibadili sheria haraka sana na ndio hiko Lissu alitaka otherwise kusingebadilika kitu maana sheria inawafunga.

Lissu alieleweka sana kwa watu walioenda shule kuwa alitoa alternative approach ya kukamata wezi bila kubanwa na sheria. Sasa sijafahamu alifanya kosa kushauri?

Anyway nasubiri kuona hao wote waliohusika na huu wizi wakiburuzwa mahakama ya mafisadi!!

Cc USSR Drone Camera
Hao vuvuzela wakikuelewa nenda katambike. Wamekuwa brain washed kiasi cha kukatisha tamaa kabisa
 
Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama

Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni

Serikali yangu ni tofauti na serikali zilizopita ukiharibu tu ujue kazi huna sikuhamishi kukupeleka popote maana utaharibu na huko, mama kilango akadanganya huko kwenye uRC akatumbuliwa ila ghafla...........
 
Tuweke siasa kando/ zile ahadi za mfalme wa mataga kugawa mil 50 kila kijiji ,nakujenga viwanda nchi nzima...

chadema is the political party which power belong to the people.
Zilishatolewa maelezo kma hukusikia bahati yako mbaya.
 
Back
Top Bottom