Tundu Lissu alivyokuwa anatudanganya kuwa mchanga wa makinikia sio mali yetu ni mali ya wazungu

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,253
2,000
Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama

Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni
 

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,253
2,000
Imekua ivi baada ya wadhamin wa tundulisu kushindwa sababu ya kilaza walio nategemea kushindwa kufanya walicho mtuma wakaamua warud kwenye meza ya majadiliano ili waone wanajinusuru vip ili waendelee kufanya biashara na sisi. Tukawapa mashart na wakayakubal tunaona sawa tuendelee kufanya nao Kaz wakizingua wanaondoka tunafanya wenyewe
Waliotudanganya kuwa makinikia hayatasafirishwa tena na mtambo utajengwa hapa nchini imekuwaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom