Tundu Lissu akiwa DPP mpya, unadhani nini kitatokea?

Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu

Hawajui hata wanachokitaka
 
Tatizo mnamkuza sana Lissu as if Sio binadamu. Wakati facts zinaonyesha kabisa kuwa hata kujitawala tu hawezi. Kuwa kiongozi Ni zaidi ya kuwa mpiga kelele bila Break.

Lakini upande wa Pili wa Shilling mtu anaposema Ukweli kuhusu haya sio adui. Kosa kubwa Ni nyie kufumba macho na mkamfananisha na Dr. Slaa. Ambaye utendaji Wake wenye matokeo ulionekana. Mnabaki na wapiga domo tu.

Ndio Tz. Ona hata wasomi wakali unakuta Ana followers 10 Lakini mkaa uchi au hata james delicious hana malaki ya followers mtandaoni. Ukubwa wa Pia sio wingi wa kamasi. Yeye atulie ubelgiji Kuna mfaa. Au awe mwanachama wa taarabu.
Unamzunguzia Slaa aliyeshindwa uongozi wa kanisa na kutunza familia yake na kuishi na hawara? Au Slaa yupi?

Ikiwa risasi zaidi ya 30 zilishindwa kumu9ndoa Lissu kwenye mstari hayo maneno yenu ya kejeli hayawezi kumfanya kitu!
 
Atageuka kuw mtu wa hovyo haijawah tokea..Wote ha akina kibafaka siku wakilogwa wsikilize matumbo yao bas ndio kwisha habar yao kitaaluma
 
Back
Top Bottom