Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

Mkuu ungekuwepo eneo la tukio ndipo ungewajua Chadema. Kumbuka waliokimbia ni wao tena wakaenda kujificha nyuma ya mapolisi wenye silaha. Tuliwakimbiza mbaya
ilitakiwa atekwe mmoja wao halafu mkamlawiti hadi azimie!.
 
Hawana lolote hao, wanakimbizwa kwa mawe tu na boya kama Sabaya.!
Jukumu la hawa jamaa ni kumlinda Lisu, ikiwepo kumkimbiza na kumtoa popote penye tatizo! Badala ya kuwaponda, tuwapongeza kwa kazi yao nzuri ya jana. Labda hujui tu kwamba wazee wa mboga mboga wanasaka kosa lolote la kiufundi kwa CHADEMA na Lisu!
 
Back
Top Bottom