Lazima achangiwe kwani huko ulaya hakwenda kwa kupenda bali nyie watesi wa CCM ndiyo mlifanya apelekwe huko na sasa Ndungai kapora mshahara wake unataka ale nini?Tundu Lisu kasema hana kodi ya pango na ya chakula ubelgiji na hana hela za ada za watoto anawaomba watanzania walioko marekani kumchangia .
Napenda maisha yangu,hao wote wa3 wanapigania ugali wao.nyie ma pompompo ndo wafuasi.So unampenda polepole na msiba
Hii video umewahi iona?Huoni kuna mtu alirecord kwa siri na sio wahusika wenyewe?Haiwezi kuwa video ya siri wakati yupo kwenye umma,upungufu wa akili huu ndiyo unasababisha nchi yetu inapigwa sana na wajanja.
Hapo ndiyo mkutanoni,na anaomba asaidiwe kitu ambacho CCM imeshafanya sana kwa magabacholi,na kila kwenye harakati za ukombozi,kuomba ndiyo njia ya kwenda mbele.
Ndiyo maana huna baba,humjui,ndiyo huyo huyo babako.Atatombewa na hao hao waliomwalika,na usishangae akarudi bila mke km akirudi bongo.
Mi hata angekua babaangu huyu namkana live.
Tapeli hilo. Mnapigwa mchana kweupee kama misu.kule ya Kifipa.Hiyo kawaida hiyo, hata wewe hadi kufika hapa ulipo kuna mtu alikusaidia katika ponti fulani ya maisha yako.
Kwa hiyo Lissu kuomba msaada ni halali yake maana Kadhulumiwa mengi, Kadhulumiwa Afya yake na sasa kadhulumiwa mshahara wake ili afe njaa!
We we si umesema hata angekua baba yako ungemkana maana yake wew mapenzi yako yako kwa polepole,msiba,jiwe and co,.sio vibaya kila mtu anachagua upande wake..Napenda maisha yangu,hao wote wa3 wanapigania ugali wao.nyie ma pompompo ndo wafuasi.
Hakuna Aibu yeyote kwani hakundwa huko kwa kupenda bali wewe ndiyo ulimpiga Risasi na sasa wewe na Ndungai mmepora mshahara wake unataka ale mawe? Lazima aombe msaada live ili watanzania wajue kuwa nyinyi watesi wa CCM hamna huruma mmepiga Risasi na bado hakumlipia matibabu na bado mlizuia maombi juu yake na sasa mmeiba mshahara wake na tena hamtaki Aombe msaada nyie watesi wa CCM mbona mna roho mbaya hivyo?Aisee,, aibu naona mimi!
Ndio maana wenzake wanamwambia arudi tu ajifanye hakuna lililotokea, amwachie Mungu, yeye aendelee na mishe zake. Naamini hata hao wabaya wake hawatakuwa na la kumfanya,.
Wewe hawa wabongo hawa ambao Mbowe yupo ndani mwezi wa tatu huu wapo kimya tu unafikiri utawapigania utaweza? Arudi aendelee kulea familia yake huku akimwabudu na kumtukuza Mungu kwa yote yaliyomkuta, sasa akiendelea kujifanya yeye ni jeuri sana haya ndio yanamkuta sasa. Hapo bado hajapokonywa kabisa jimbo 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli majina huumba!Lazima achangiwe kwani huko ulaya hakwenda kwa kupenda bali nyie watesi wa CCM ndiyo mlifanya apelekwe huko na sasa Ndungai kapora mshahara wake unataka ale nini?
Wewe mwenyewe mke,unataka kumkueadia?
Suppose he was a brother, father, Uncle and someone close to heart.Huyu jamaa ataelewa tu baadae ngoja tuone huko mbele akipoteza kila kitu kuanzia ubunge mpaka mashabiki na hapo atabaki mwenyewe na familia yake wakikodoleana macho na wasijue wa kumlaum, kitakachomsaidia ni kufungua ka ofisi ka uwakili kuganga njaa.... Ni jambo la muda tu.
Over
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo aina ya wanaume unapigiwa mkeo sebuleni kwako huku ukishuhudia unasema hewala mimi mnyonge sina cha kufanya!Aisee,, aibu naona mimi!
Ndio maana wenzake wanamwambia arudi tu ajifanye hakuna lililotokea, amwachie Mungu, yeye aendelee na mishe zake. Naamini hata hao wabaya wake hawatakuwa na la kumfanya,.
Wewe hawa wabongo hawa ambao Mbowe yupo ndani mwezi wa tatu huu wapo kimya tu unafikiri utawapigania utaweza? Arudi aendelee kulea familia yake huku akimwabudu na kumtukuza Mungu kwa yote yaliyomkuta, sasa akiendelea kujifanya yeye ni jeuri sana haya ndio yanamkuta sasa. Hapo bado hajapokonywa kabisa jimbo 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
You belong to the group of stupid ones in that sense.Hii video umewahi iona?Huoni kuna mtu alirecord kwa siri na sio wahusika wenyewe?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.