Mnatafutana mafisi dadadekiHapo kwenye picha Kuna nondo gani? Mnaleta picha halafu mnasema nondo.
Tofauti kubwa kati ya kampeni za uchaguzi za Tundu Lissu na zile za yule wa CCM ni kwamba, kwa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu wapigakura hutaka kuzisikia sera mbadala, wakati kwa yule huenda kwa matarajio ya kuwaona wasanii maarufu wa Bongo fleva.Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661View attachment 1566662
Viva Lissu Viva Chadema!!!Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661View attachment 1566662
Kumbe akishinda nchi itakuwa yake eeh 🤔?Tundu Lissu apewe tu nchi yake......
👍👍Uhuru haki na maendeleo ya watu👍👍
Subiria ashuke hapo magu..magu hajafika moro..Lissu ameshamchanganya Magufuli; kwasasa anaendelea kufuta alikopita Magu.
Ingia yutube bwasheHapo kwenye picha Kuna nondo gani? Mnaleta picha halafu mnasema nondo.
Ccm mtajua hamjui mwaka huu!! Dadeki!! Huyo ndo Tundu Lissu!Sasa hizo picha ndo kufuta CCM morogoro? Au hiyo kanzu na baraghashia ndo kufuta CCM Moro?
Ajabu Sana.
Ashuke sehemu aliyoua viwanda???Subiria ashuke hapo magu..magu hajafika moro..
Watanzania wanakwambia Ubwabwa kwa Hashim Rungwe, Fiesta kwa Magufuli Ila Sera Nzuri na Kura kwa Tundu Antiphas Lissu!hapo hamna mondi wala kiba.
bila wasanii wala malori ya kusomba wajinga waliovaa minguo ya kijani na njano.. jiwe hawez fikisha hata watu mia kwenye mkutano...
Lissu ni mpango wa kweli wa Mungu!hapo hamna mondi wala kiba.
bila wasanii wala malori ya kusomba wajinga waliovaa minguo ya kijani na njano.. jiwe hawez fikisha hata watu mia kwenye mkutano...
Anaugulia maumivu huko Chato!Kama ni mmoja wa waliomshauri mwenyekiti vibaya ajitafakari.
Naomba uamke huko usingizini ulipolala!!! Hali ni mbaya sana kwa Ccm!!Upinzani ulishajifia tangu 2015, kilicho baki ni futuhi tu.
Kadhi Mkuu! Pole sanaSasa hizo picha ndo kufuta CCM morogoro? Au hiyo kanzu na baraghashia ndo kufuta CCM Moro?
Ajabu Sana.
Wananchi huenda kusikiliza Sera. Hivyo basi, kutushawishi nasi ambao hatuhudhurii hizo kampen, weka Ilani ya CHADEMA hapa tujadili Sera zilizomo na siyo picha za matukio.Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661