Tundu Lissu afanyiwa upasuaji wa 18

Aisee!

Sijui atapasuliwa mara ngapi tu!
Dah.....
Ataweka rekodi ya mgonjwa aliyepasuliwa Mara nyingi zaidi kwenye hiyo hospitali.........
Aliyeongezwa damu nyingi zaidi kwenye hiyo hospital .....
Aliyelipa gharama kubwa zaidi tokea hospitali ianzishwe
 
Naona Chadema baada ya kupiga hela mzigo umeachiwa familia sasa.Tuliambiwa msemaji wa afya ya Lissu hatakuwa mwingine bali Mbowe sasa naona familia imeingilia kati au imetekelezwa na maharamia ya chadema !

UGUA POLE LISSU ILA TAMBUA CDM IMEKUTUMIA TU KAMA CHOMBO CHA KAMPENI ZA KISIASA NA SASA UMEBAKI NA FAMILIA YAKO....WAPIGA SELFIE WOTE WAMEONDOKA NA SASA WATAENDA KUPIGA SELFIE NA DR SHIKA.
Mkuu ulimiss Press ya mwisho ya Mbowe?
nikukumbushe tu, alisema kuanzia sasa kila kitu wanakabidhi kwa familia.
 
Kwa hiki kipindi namshauri lissu afikirie/ajali sana afya yake kuliko kitu kingine chochote.
 
sikia Mungu wangu wa mbinguni anavyomtia moyo ndugu yetu mpendwa Tundu Lissu kupitia sala yangu hii fupi hapa chini....

Basi, watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa; kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa; na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. ASEMA BWANA!

Tazama, tufani ya BWANA, yaani, ghadhabu yake, itakuwa ni tufani ya kudumu; itawaangukia waovu vichwani. ASEMA BWANA!

Nami nitakurudishia afya, na pia nitakuponya jeraha zako. ASEMA BWANA!

Kwa sababu hiyo usiogope, Ee Tundu Antipas, mtumishi wangu; wala usifadhaike. ASEMA BWANA!

Maana mimi ni pamoja nawe, nikuokoe; maana nitawakomesha kabisa watesi wako wote huko. ASEMA BWANA!

Heshima, Utukufu, Mamlaka, Nguvu na Enzi vyote ni vyako Mungu. AMEN.
Amen
 
Mungu amponye .Ila katika kitu ninachosikitika ni wabunge wa CCM kweli mbunge mwenzao anaumwa hata kwenda kumpa pole wamekatazwa.Nilikuwa na mwona Magu "MKRISTO"mzuri ila kwa hili nimeshangaa sana sana .Nimemwomba Mungu na kumshukuru ila sijaupatia picha utawala huu.Tumelelewa kwa misingi ya "KUSAMEHE" kupendana na kuheshimiana ili tupate amani na baraka mioyoni mwetu.Sikutegemea kwa miaka niliyo nayo nikione hiki kitu Tanzania.Sijaweza kuamini kabisa kuwa tunaishi kama tunavyoishi sasa.Ila Neno moja tu TUSHUKURU KWA KILA JAMBO.MUNGU NIWAMINIFU .Zaburi ya 41
Ndugu ukumtuhumu baba yako ni mchawi usitarajie ukiwa kitandani baba na wa ukoo wako wataonekana, usije singizia wamekuja kukumaliza?
 
Aisee!

Sijui atapasuliwa mara ngapi tu!
Ni Mungu tu ndiye anayejua. Kwa vyo vyote vile atakuwa amevunja rekodi ya dunia, at least ya mwaka huu. Pole sana TL na tunawaomba chadema msimchoke kumhudumia na kumgharimia.
 
Hili shambulio dhidi ya uhai wa Lissu linashangaza sana, huenda hata oparesheni ambazo amefanyiwa zikaingia katika kitabu cha Guinness.

Hao watesi wake waliojaribu kumaliza uhai wake watakuwa wanapitia kipindi kigumu kiakili na huenda wasishiriki tena ktk matukio ya mauaji. Hili linathibitisha pasipo shaka kuwa uhai wa binadamu uko mikononi mwa Mungu mwenyewe.

Vv
 
Naona Chadema baada ya kupiga hela mzigo umeachiwa familia sasa.Tuliambiwa msemaji wa afya ya Lissu hatakuwa mwingine bali Mbowe sasa naona familia imeingilia kati au imetekelezwa na maharamia ya chadema !

UGUA POLE LISSU ILA TAMBUA CDM IMEKUTUMIA TU KAMA CHOMBO CHA KAMPENI ZA KISIASA NA SASA UMEBAKI NA FAMILIA YAKO....WAPIGA SELFIE WOTE WAMEONDOKA NA SASA WATAENDA KUPIGA SELFIE NA DR SHIKA.
Mungu hamnyimi kiumbe chake kila kitu, alikunyima akili akakupa upumbavu.
 
Mungu amponye .Ila katika kitu ninachosikitika ni wabunge wa CCM kweli mbunge mwenzao anaumwa hata kwenda kumpa pole wamekatazwa.Nilikuwa na mwona Magu "MKRISTO"mzuri ila kwa hili nimeshangaa sana sana .Nimemwomba Mungu na kumshukuru ila sijaupatia picha utawala huu.Tumelelewa kwa misingi ya "KUSAMEHE" kupendana na kuheshimiana ili tupate amani na baraka mioyoni mwetu.Sikutegemea kwa miaka niliyo nayo nikione hiki kitu Tanzania.Sijaweza kuamini kabisa kuwa tunaishi kama tunavyoishi sasa.Ila Neno moja tu TUSHUKURU KWA KILA JAMBO.MUNGU NIWAMINIFU .Zaburi ya 41
Kama JK angekuwa ndiye rais, angekuwa ameshaenda kumjulia hali au hata kumtuma waziri wake.

Namshangaa hata Spika Ndugai hajaenda kumtembelea au hata kumtuma mwakilishi, hili linanizidishia idadi ya maswali kichwani mwangu.

Vv
 
Jingalao kweli ni jingalao maana mara ya mwisho mbowe alisema wao walikuwa wamekabidhi jukumu la usemaji kuhusu afya ya lisu kwa familia,sasa wewe unaesema mbowe alisema wataendelea kuwa wasemaji lisu umezipata wap
Lini hiyo walisema?
Yaani chadema waliharibu kwa kuingiza siasa kwenye matibabu ya lissu sasa hivi wakati wa kulipa deni umefika ndio wanajidai kurudisha jukumu la usimamizi wa matibabu kwa familia..shame!!
 
Mkuu ulimiss Press ya mwisho ya Mbowe?
nikukumbushe tu, alisema kuanzia sasa kila kitu wanakabidhi kwa familia.
Ni baada ya kuona kuna gharama kubwa zinaenda kutokea na walishakiuka taratibu za matibabu ya mbunge.....kwa nini chama kiachie matibabu katikati??
 
Naona Chadema baada ya kupiga hela mzigo umeachiwa familia sasa.Tuliambiwa msemaji wa afya ya Lissu hatakuwa mwingine bali Mbowe sasa naona familia imeingilia kati au imetekelezwa na maharamia ya chadema !

UGUA POLE LISSU ILA TAMBUA CDM IMEKUTUMIA TU KAMA CHOMBO CHA KAMPENI ZA KISIASA NA SASA UMEBAKI NA FAMILIA YAKO....WAPIGA SELFIE WOTE WAMEONDOKA NA SASA WATAENDA KUPIGA SELFIE NA DR SHIKA.
Your name tells us who you are . Jong also! !!!!! indeed jingalao
 
Back
Top Bottom