Tundu Lissu afanyiwa upasuaji wa 18

Una ushahidi gani kama Serikali inahusika? Huko kwenu kuna mambo mengi. Chacha Wangwe alipotezwa kinoma na wengine walionyemelea kiti kufukuzwa kama kina Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe, Shonza, Tumbili na kadhalika. Upo uwezekano wahuni wenu wakachukua advantage ili kuichafua Serikali ambayo haikuwa na mpango wowote na huyo kichaa wenu.
Binafsi bado ntaendelea kuamini kuwa serekali ilihusika kwenye hujuma dhidi ya Lissu, mpaka ithibitishwe vinginevyo. Hawawezi kujihujumu kwa manufaa yao ya kisiasa kama unavyo amini, hivi kama wanaandamwa hadi kuharibu bustani zao, hivi wangefanywaje kama kama wangemimina risasi zote zile for political benefits.
Uhusika mwengine wa serekali kumpiga risasi Lissu una funuliwa na jinsi walivo li handle swala hilo, yahani wame lihandle kama la soweto arusha, pale serekali ilipo warushia raia bomu.
 
Watanzania sio watu wa kuwaamini kabisa, wameshamsahau TUNDU LISSU
sasa wanamfuatilia kwa ukaribu na umakini Dr.shika kama kweli hiyo kampuni anayomiliki huko urusi ni Yake.
 
Hivi habari zinamsaidia nani, au ni kusononesha familia yake? Au ndiyo haki ya kikatiba wapiga kura kuhabarishwa? Si ni Kubenea aliyesema Lissu alipigwa risasi 35, kwa hiyo hii ya 18 imetolewa bado 17? Kindly stop this silly reporting, haitusaidii kiti; tumhurumie mkewe na wanawo.
 
Ugua pole Shujaa wa Taifa letu Tanzania
Yuda Isikarioti alikuwa ni shujaa pia, siasa kali, mwanaharakati aliyepinga ukoloni wa Warumi kwa nguvu zake zote. Alimsaliti Yesu akijua kuwa Wayahudi watasimama kupinga utawala "uchwara" wa Warumi. Alipoona hawataki kuwapinga Warumi akajinyonga.
 
Kwahiyo Huyo MTU wenu mnamfananisha na Yesu!!!??? Duuu Mna macho lakini hamuoni!!!
 
Binafsi bado ntaendelea kuamini kuwa serekali ilihusika kwenye hujuma dhidi ya Lissu, mpaka ithibitishwe vinginevyo. Hawawezi kujihujumu kwa manufaa yao ya kisiasa kama unavyo amini, hivi kama wanaandamwa hadi kuharibu bustani zao, hivi wangefanywaje kama kama wangemimina risasi zote zile for political benefits.
Uhusika mwengine wa serekali kumpiga risasi Lissu una funuliwa na jinsi walivo li handle swala hilo, yahani wame lihandle kama la soweto arusha, pale serekali ilipo warushia raia bomu.
Njoo CENTRAL uisaidie Polisi maana una taarifa muhimu.
 
Akitoka akileta domo tena dhidi ya rasilimali za nchi anagongwa tena.
 
Back
Top Bottom