Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

Hivi kwanini umasikini wa akili na hela unafanya mtu kuwa mwehu ?
Uko sahihi kwa kujiangalia maana hunijui mimi. Kwa hili nakubaliana nawe kuwa umaskini wako wa akili utakutuma siku moja uniPM nikusaidie kwa vile ninazo ndo maana nina uwezo wa kuendelea kupambana nawe wakati huu ambako nyumbani ni usiku. Tia akilini Dk Father of All
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)

Lissu ambaye yuko Marekani kwa ziara ya kikazi , hasa kuhusiana na masuala ya kisiasa na kidemokrasia anahitajiwa na Vyombo karibu vyote vikubwa vya Marekani kwa ajili ya Mahojiano , Sisi tayari tunaye mwakilishi kwenye ziara yake hiyo na tutajitahidi kuweka video za mahojiano yake yote hapa hapa JF kwa ajili ya faida ya wadau , Endelea kututegea sikio .

View attachment 1898806
Ndiyo VOA hawa hawa walioripoti kuwa Dr Magufuli alipelekwa Kenya kwa matibabu na kuaminisha dunia hivyo? Ndiyo VOA hawa hawa waliyoripoti kuwa mwaka jana Tanzania yungeokota maiti ambazo zingezagaa barabarani kutokana corona? Ni VOA hawa hawa wanaokaa kimya kila siku kwa mauaji ya kikatili yanayofanywa Marekani? Ama kweli Lissu thamani yake imeisha kabisa!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)

Lissu ambaye yuko Marekani kwa ziara ya kikazi , hasa kuhusiana na masuala ya kisiasa na kidemokrasia anahitajiwa na Vyombo karibu vyote vikubwa vya Marekani kwa ajili ya Mahojiano , Sisi tayari tunaye mwakilishi kwenye ziara yake hiyo na tutajitahidi kuweka video za mahojiano yake yote hapa hapa JF kwa ajili ya faida ya wadau , Endelea kututegea sikio .

View attachment 1898806

Akipenda alale kwenye TV networks na social media, but he remains a worthless puppet!
 
Huko VOA ndo alikozusha mlinzi wa Magufuli kafa kwa C-19!!

And nobody has ever held him to account!
Na pm je alivyotudanganya Watz tena akiwa ndani ya msikitini kwamba Meko yupo ok na anachapa kazi wakati kiukweli alikuwa hoi au tayari inawezakana alikuwa ashafyekwa na corona..??
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)

Lissu ambaye yuko Marekani kwa ziara ya kikazi , hasa kuhusiana na masuala ya kisiasa na kidemokrasia anahitajiwa na Vyombo karibu vyote vikubwa vya Marekani kwa ajili ya Mahojiano , Sisi tayari tunaye mwakilishi kwenye ziara yake hiyo na tutajitahidi kuweka video za mahojiano yake yote hapa hapa JF kwa ajili ya faida ya wadau , Endelea kututegea sikio .

View attachment 1898806
Mungu akubariki kamanda Erythrocyte, mchango katika kuikomboa nchi hii tunauona na kuuthamini. Endelea kutujuza
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)

Lissu ambaye yuko Marekani kwa ziara ya kikazi , hasa kuhusiana na masuala ya kisiasa na kidemokrasia anahitajiwa na Vyombo karibu vyote vikubwa vya Marekani kwa ajili ya Mahojiano , Sisi tayari tunaye mwakilishi kwenye ziara yake hiyo na tutajitahidi kuweka video za mahojiano yake yote hapa hapa JF kwa ajili ya faida ya wadau , Endelea kututegea sikio .

View attachment 1898806
Please make sure unatuwekea video clip
 
Itakuwa na matokeo hayo kama SIRRO ndiye angekuwa ameshambuliwa. Tangu shambulio liwe agenda kuu ya CHADEMA kupata kiki ya kisiasa, na Lissu mwenyewe kutafuta huruma ndani na msaada nje ya nchi, wamefanikiwa nini. Mhusika anaendelea kuuguza majeraha wakati dereva wake, huko aliko, anakula bata. Unganisha dot, usiwe na mawazo ya kinyumbu
Pole ndugu, naona wote ndio mnazidi kuweweseka.
Kwa Mungu hakuna tofauti kati ya alietenda ushetani huo na nyie mnaoushabikia na kuushangilia. Wote mtakujalipa kwa dhambi hii na tayari dalili zimeshaanza kuwa wazi. AMEN
 
Back
Top Bottom