Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)

Lissu ambaye yuko Marekani kwa ziara ya kikazi , hasa kuhusiana na masuala ya kisiasa na kidemokrasia anahitajiwa na Vyombo karibu vyote vikubwa vya Marekani kwa ajili ya Mahojiano , Sisi tayari tunaye mwakilishi kwenye ziara yake hiyo na tutajitahidi kuweka video za mahojiano yake yote hapa hapa JF kwa ajili ya faida ya wadau , Endelea kututegea sikio .

View attachment 1898806

View attachment 1899695
LEADING QUESTIONS, WORSE THAN BBC:

Swali la kwanza: RAIS SAMIA ALIPEWA MATUMAINI SANA ALIPOINGIA LAKINI SASA YAMEANZA KUYEYUKA. NINI MAONI YAKO?
La pili: RAIS WLIAH8DI ATAONANA NA WAPINZANI LAKINI SASA ANASEMA ITAKUWA NI KWENYE JUMUIA ZENU. HILO UNALIONAJE?
 
Back
Top Bottom