Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

Mapungufu machache?? Jiwe alikuwa siyo mtu, alikuwa siyo kiongozi na hakustahili kuwa rais.

Mungu amuue tena huko aliko
we utakufa tena mdomo wazi we malaya usiye na mapenzi hata na babaako,mamaako na ukoo wote mtakufa km hamjafa bado.
Mungu akulaani popote ulipo nyau we.
Amen🙏
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.
Naunga mkono hoja, mtu huna sababu kumshambulia mtu anbaye hawezi kujitetea tena nashauri aache kabisa maana huko aliko, alikasirika ni anamshutua tuu YEYE, na mtu anaitwa fasta dakika sifuri!.
Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.
Ni kweli, alitenda mema mengi makubwa mazuri kuliko mabaya na maovu yake, na kabla hajatwaliwa alitubu, akasalishwa sala ya toba, akapakwa mafuta ya Krisma, hivyo dhambi zake zote za hapa duniani, zikaondolewa na zikasamehewa na Mungu mwenyewe!.

Saa hizi hivi tunavyozungumza hapa, sii wengi wanajua mahali alipo sasa, sisi wenzenu tuliojaaliwa kujulishwa tunaomba tuwaeleze kupitia Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Jiwe alikuwa mmoja kati ya watawala katili na asiyefaa kwenye ulimwengu uliostaarabika.

Watu waliouawa kikatili, waliodhulumiwa mali/pesa zao, nyongeza zao za mishahara ya kila mwaka, kubomolewa nyumba zao bila kulipwa. Kudhalilishwa hadharani-rejea wana kagera baada ya tetemeko la ardhi; waliopigwa risasi zaidi ya 20- Mioyo yao bado ina vidonda vya udhalimu wa jiwe kwao.

Lisu akiwa ni mmoja wa wahanga wa jiwe. Anayo haki ya ku vent his anger, hata kama jiwe hawezi kumjibu kwa sasa.

Kumbuka kwamba, dikteta Hitler alifanya unyama wake miaka zaidi ya 78 iliyopita, lakini wazungu bado wanamlaani kwa ukatili wake.

Hebu fikiria huzuni waliyo nayo leo wazazi, ndugu, watoto na wenza wa Azori Gwanda. Ben Saanane etc.

Waswahili wanasema: kisu ni kitamu kwa nguruwe, lakini kwa binaamu ni kichungu
 
Lisu hana utengamano wa kiakili kuweza kusikia, kuelewa na kufuata ushauri wako, hata kama ni kwa faida yake mwenyewe. Yeye huropoka chochote kinachokuja kichwani mwake bila kuangalia athali zake, kwa usitegemee mabadiliko yoyote.
Chadema hawawezi kumwambia chochote kwa sababu ana wafuasi wengi ndani ya chama kumzidi mwenyekiti!
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Huna cha kumfundisha Tundu Lissu, kaa kimya sindano ziwaingie.
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Kuelezea yaliyotokea kama mfano mzuri wakati wa kujenga hoja mbele ya wananchi ni kosa? CCM acheni ushamba wenu. Lissu mara nyingi tu amesikika akimsifia Magufuli kwamba alikuwa mzalendo hasa kwenye upande wa kulinda raslimali za nchi hasa ardhi, bandari na hifadhi za Taifa..hapa napo mnasemaje?
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
MBONA HUKUMKATAZA MAGUFULI ASIMPIGE RISASI WAKATI WA UTAWALA WAKE? ACHA UNAFIKI UNGEKUWA WEWE AU NDUGU YAKO KAPIGWA RISASI NA UTAWALA WA MAGUFULI UNGEKAA KIMYA?
 
Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
nyie mabwabwa magufuli nenden chato mkazikwe naye nguruwe nyinyi.
 
Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
Wewe mwenyewe umekosea.nyerere ni 30,893 sq km.Sio 50.
 
Hakika Kwa kiburi chake acha aendelee kuongea ujinga wake atawaponza chadema Kanda ya ziwa

Heshima ya magufuli Hadi Sasa ipo juu naamin ni wengi wanakumbuka Sana utendaji kazi wake
Kanda ya ziwa unaijua wewe kuwadi la warabu koko yale magaid, kama hujui kanda ya ziwa ndio ambapo lissu amefanya mikutano mikubwa kuliko mahala popote ikiwemo chato sasa wewe nguruwe wa magufuli sijui unazungumzia kanda ipi ya ziwa.
 
Hamshambulii Magufuli, anaeleza mabaya ya kiuongozi ya Magufuli yanayopaswa kuepukwa na kiongozi yeyote wa Taifa hili. Kama unadhani hilo siyo muhimu basi baki na mahaba yako kwa Magufuli lakini Taifa lazima lielezwe ukweli ili liweze kupona!.
Kama kusema ukweli kutaizuia CHADEMA kuingia Ikulu ni bora isiingie tu lakini isimamie Ukweli. Maana itakuwa haina tija waingie Ikulu kisha nao waanze kuteka, kuiba chaguzi, Kubana vyombo vya habari na kutoheshimu katiba kama Magufuli alivyokuwa anafanya.

By the way, mbona Mkapa hamumtetei, au naye siyo Marehemu?
Maana hata Mkapa naye anatolewa mfano kama somo wa uuzaji wa dhahabu zetu na mashirirka yetu ya umma kwa bei chee
 
Back
Top Bottom