Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba.
Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa.
Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja wakihisiwa kuingiliana kimwili faragha zao zisiingiliwe.
Wewe mwenyewe ulijibu kwa ghadhabu. Sasa umegundua ulijichanganya.
View attachment 2504742