Tundu Lissu aachwe ajitetee mwenyewe, hawa kina Dkt. Mashinji na Mrema ndio wanamharibia kabisa

Rais alitoa pole ya kuumwa kwa Lissu,Mama samia alienda kumwona akiwa Nairobi.Je,hao wote ni wajinga ila wewe bashite unawazidi akili?

Au unataka kusema Mama Samia aliporudi kutoka Nairobi atasema alimkuta Lissu yupo Guest House anakula bata tu?Think twice.
Ushahidi wa kuwa alimkuta hospitali ni upi? Ripoti ya daktari tu ndio huonyeshi mtu kalazwa hospitali gani anaumwa Nini.Hospital iko kisheria.Huwezi lala kitandani ukajiweka madrip ukajipiga picha kuwa uko hospital.Ripoti ya daktari tu ndio huonyesha mtu Yuko hospitali yenye Jina lipi na kwa matibabu gani nk
 
..Nassari is the one who gave up.

..sasa wewe labda utueleze kwanini utaratibu wa kutangaza kuwa jimbo liko wazi haukufuatwa?

..wanaofanya kazi za serekali ni wanadamu na wakati mwingine hukosea.

..Dr.Mashinji ameonyesha mapungufu ktk mchakato wa kumvua Nassari ubunge.
Chadema ni wanafiki mbwa kabisa sasa hivi ndo mashinji anajua nasali kavuliwa ubunge? Mbowe kimyaaa. Hahahaaaa chama cha walaji wanajuana ndo maana hawakumchokoza kuwa Nasali kala pesa kama walivokuwa wanasema kwa madiwani maana wangevulagana hadi chama kife. Mbona kwa nasari hawakukomaa mahakamani hadi kieleweke na hawakumsaidia kwa lolote?
 
Ushahidi wa kuwa alimkuta hospitali ni upi? Ripoti ya daktari tu ndio huonyeshi mtu kalazwa hospitali gani anaumwa Nini.Hospital iko kisheria.Huwezi lala kitandani ukajiweka madrip ukajipiga picha kuwa uko hospital.Ripoti ya daktari tu ndio huonyesha mtu Yuko hospitali yenye Jina lipi na kwa matibabu gani nk
Mama Samia alienda kwa agizo/niaba ya rais.Ndo maana nakuuliza je,Mama samia alienda Guest house?nijibu hapo tu.kuna ushahidi wa kitknolojia video ipo hata sasa mitandaoni.ni Nairobi Hospital.Makamu wa rais ni mtu mkbwa sana usifananishe na Bashiru au Polepole.
Mfano mama samia akiitwa Mahakamani atoe ushahidi alipoenda nairobi alimkuta wapi Lissu unadhani atajibu nini?
Ikulu ilitoa official statement kuwa makamu kaenda mahali fulani hiyo tyu ni ushahidi kuwa nchi unajua alipo.lakin eti bunge linajidai halijui.Haya ni mambo ya mantiki tu.kama uwezo wa kujenga mantiki ni mkubwa basi utaelewa.
 
Mama Samia sio Ripoti ya daktari.Hata Kama alimwona hawezi kusema kwa uhakika kuwa alimkuta anaumwa au la sababu yeye sio daktari.Ripoti ya daktari ndio msemaji wa kweli Na hata Kama alimwona ulitaka yeye ndie akaripoti bungeni kwa Spika kuwa Lisu anaumwa? Yeye Ni Ripoti ya daktari?
 
..Nassari is the one who gave up.

..sasa wewe labda utueleze kwanini utaratibu wa kutangaza kuwa jimbo liko wazi haukufuatwa?

..wanaofanya kazi za serekali ni wanadamu na wakati mwingine hukosea.

..Dr.Mashinji ameonyesha mapungufu ktk mchakato wa kumvua Nassari ubunge.
Nassari alishindwa kesi mahakamani
 
Mama Samia alienda kwa agizo/niaba ya rais.Ndo maana nakuuliza je,Mama samia alienda Guest house?nijibu hapo tu.kuna ushahidi wa kitknolojia video ipo hata sasa mitandaoni.ni Nairobi Hospital.Makamu wa rais ni mtu mkbwa sana usifananishe na Bashiru au Polepole.
Mfano mama samia akiitwa Mahakamani atoe ushahidi alipoenda nairobi alimkuta wapi Lissu unadhani atajibu nini?
Ikulu ilitoa official statement kuwa makamu kaenda mahali fulani hiyo tyu ni ushahidi kuwa nchi unajua alipo.lakin eti bunge linajidai halijui.Haya ni mambo ya mantiki tu.kama uwezo wa kujenga mantiki ni mkubwa basi utaelewa.
Mama Samia sio mbunge na haingii bungeni.
Bunge halijui mtu Yuko wapi kupitia serikali.Ni mihimili miwili tofauti.Bunge haliendeshwi na serikali.Yeye Lisu ndie alitakiwa kutoa taarifa bungeni.Alikuwa kakazana tu kuandika mitandaoni na kuhojiana na vyombo vya habari akiwa Nairobi na ubelgiji kutoa taarifa bungeni alishindwa Nini? Swali la kusema Eti Mama Samia akiitwa mahakamani atasema Ni Nini jibu rahisi nilimkuta kitandani akisema anaumwa ila Sina uhakika sababu sikuona Ripoti ya daktari.Na nilimwona siku moja tu dakika tu sijui Kama siku zote alikuwa hapo au la.Inawezekana labda alikuwa kalazwa muda huo nafika sijui sababu sikuona Ripoti ya daktari inayoonyesha kalazwa lini.
 
Nassari alishindwa kesi mahakamani

..Kweli.

..Mawakili wake walisema watakata Rufaa lakini hawakufanya hivyo.

..TL pia anaweza kushindwa mahakamani.

..mahakamani lazima upande mmoja ushinde na mwingine ushindwe.

..Ndiyo maana nimewauliza wanasheria wetu kuhusu sababu zilizopelekea Nassari kushindwa.
 
Back
Top Bottom