Tundu Lissu aachwe ajitetee mwenyewe, hawa kina Dkt. Mashinji na Mrema ndio wanamharibia kabisa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Maendeleo hayana chama.

Nitoe tu ushauri kwamba ni heri Tundu Lisu ambaye ni mwanafunzi wa mwanasheria nguli kabisa duniani Prof Kabudi aachwe ajitetee mwenyewe kuhusu kuvuliwa ubunge.

Utetezi unaoendelea kutolewa na makamanda wa Chadema wakiwemo Dr Mashinji na yule Mrema unaweza kumharibia zaidi.

Kwa mfano Dr Mashinji anaamini Joshua Nassari bado ni mbunge halali na kwamba jimbo la Arumeru mashariki lina wabunge wawili kwa sababu kuondolewa kwa Nassari hakujatangazwa kwenye gazeti la serikali. Sasa utajiuliza katiba ya JMT inaruhusu jimbo kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa? Kadhalika anaamini Tundu Lisu ni mbunge halali kwa sababu kama hizo.

Mrema anadai Lisu alikuwa kwenye coma kwa muda wa miezi minne ndio maana hakuandika barua na hata kama angeandika baada ya kuzinduka Spika angemuambia alikuwa mtoro kwa ile miezi 4 aliyokuwa hajitambui.
Yaani ni utetezi wa ajabu kabisa.

Tundu Lisu jitetee mwenyewe kamanda hawa wapambe wataharibu.

Kila la kheri kamanda!
 
..Mashinji amejieleza vizuri.

..he was very honest ktk maelezo yake na hakuweka ushabiki hata kidogo.

..ameuliza hoja ya msingi. Kwanini hakukuwa na tangazo la serekali kuwa jimbo la arumeru mashariki liko wazi?

..kuhusu suala la TL kuwa hospitali hilo linajulikana wala halina mjadala.

..wakati bunge linakataa kumhudumia TL lilikuwa na taarifa kuwa linakataa kumhudumia akiwa Nairobi na Lueven/Ubelgiji.
 
Mbona hakuweka pingamizi wakati wa uchaguzi mdogo!
 
..Nassari is the one who gave up.

..sasa wewe labda utueleze kwanini utaratibu wa kutangaza kuwa jimbo liko wazi haukufuatwa?

..wanaofanya kazi za serekali ni wanadamu na wakati mwingine hukosea.

..Dr.Mashinji ameonyesha mapungufu ktk mchakato wa kumvua Nassari ubunge.
 
Wameharibu nini sasa ,wanyamaze tu ili iweje ? Kwahiyo wakiongea hivyo walivyoongea ndio lissu atashindwa kupata haki yake mahakamani ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Siasa za Tanzania sarakasi tupu. Haswa kwa hii miaka 5 ya sasa na hio 5 mingine ijayo(au zaidi?).....ni sawa na 'operation funga mkanda' tu
 
Sina uhakika kama kweli utaratibu haukufuatwa!

..Actually, Dr.Mashinji amesema hivyo kwa tahadhari.

..Dr.Mashinji amesema yeye hajaona tangazo la serekali.

..Na ametahadharisha kuwa huenda yeye ndiyo amekosea, na amewataka waandishi wa habari watafiti na kuthibitisha kama govt notice kuhusu ubunge wa Nassari ipo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maendeleo hayana chama.

Nitoe tu ushauri kwamba ni heri Tundu Lisu ambaye ni mwanafunzi wa mwanasheria nguli kabisa duniani Prof Kabudi aachwe ajitetee mwenyewe kuhusu kuvuliwa ubunge.

Utetezi unaoendelea kutolewa na makamanda wa Chadema wakiwemo Dr Mashinji na yule Mrema unaweza kumharibia zaidi.

Kwa mfano Dr Mashinji anaamini Joshua Nassari bado ni mbunge halali na kwamba jimbo la Arumeru mashariki lina wabunge wawili kwa sababu kuondolewa kwa Nassari hakujatangazwa kwenye gazeti la serikali. Sasa utajiuliza katiba ya JMT inaruhusu jimbo kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa? Kadhalika anaamini Tundu Lisu ni mbunge halali kwa sababu kama hizo.

Mrema anadai Lisu alikuwa kwenye coma kwa muda wa miezi minne ndio maana hakuandika barua na hata kama angeandika baada ya kuzinduka Spika angemuambia alikuwa mtoro kwa ile miezi 4 aliyokuwa hajitambui.
Yaani ni utetezi wa ajabu kabisa.

Tundu Lisu jitetee mwenyewe kamanda hawa wapambe wataharibu.

Kila la kheri kamanda!
By the way anaitwa Lissu, siyo Lisu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...Kwa mfano Dr Mashinji anaamini Joshua Nassari bado ni mbunge halali na kwamba jimbo la Arumeru mashariki lina wabunge wawili kwa sababu kuondolewa kwa Nassari hakujatangazwa kwenye gazeti la serikali. Sasa utajiuliza katiba ya JMT inaruhusu jimbo kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa? Kadhalika anaamini Tundu Lisu ni mbunge halali kwa sababu kama hizo.

Mrema anadai Lisu alikuwa kwenye coma kwa muda wa miezi minne ndio maana hakuandika barua na hata kama angeandika baada ya kuzinduka Spika angemuambia alikuwa mtoro kwa ile miezi 4 aliyokuwa hajitambui.
Yaani ni utetezi wa ajabu kabisa.

Tundu Lisu jitetee mwenyewe kamanda hawa wapambe wataharibu.

Kila la kheri kamanda!
Duh, aisee hawa wapambe ni nuksi.
 
Maendeleo hayana chama.

Nitoe tu ushauri kwamba ni heri Tundu Lisu ambaye ni mwanafunzi wa mwanasheria nguli kabisa duniani Prof Kabudi aachwe ajitetee mwenyewe kuhusu kuvuliwa ubunge.

Utetezi unaoendelea kutolewa na makamanda wa Chadema wakiwemo Dr Mashinji na yule Mrema unaweza kumharibia zaidi.

Kwa mfano Dr Mashinji anaamini Joshua Nassari bado ni mbunge halali na kwamba jimbo la Arumeru mashariki lina wabunge wawili kwa sababu kuondolewa kwa Nassari hakujatangazwa kwenye gazeti la serikali. Sasa utajiuliza katiba ya JMT inaruhusu jimbo kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa? Kadhalika anaamini Tundu Lisu ni mbunge halali kwa sababu kama hizo.

Mrema anadai Lisu alikuwa kwenye coma kwa muda wa miezi minne ndio maana hakuandika barua na hata kama angeandika baada ya kuzinduka Spika angemuambia alikuwa mtoro kwa ile miezi 4 aliyokuwa hajitambui.
Yaani ni utetezi wa ajabu kabisa.

Tundu Lisu jitetee mwenyewe kamanda hawa wapambe wataharibu.

Kila la kheri kamanda!
Lissu ana ED ya madaktari toka Ubelgiji
 
Katika maelezo yako, mahali ulipokosea kabisa ni kusema eti Kabudi ni Mwanasheria Nguli. Hivi unajua kuwa hata hicho alichosomea huyo mtu, ni kati ya branch ambazo zinadharaulika sana na katika taalama hiyo?

Ni sawa na kusema kuwa mtu fulani ni mtaalam nguli wa dunia, lakini huyo mtu alichosomea ni maarifa ya nyumbani (home science) - kutengeneza mikate, kukaanga vizuri mboga, chips, n.k.

Mtu ambaye yupo vizuri kabisa kichwani, ni nadra sana kusikia anaenda kusomea Sheria ya Familia.
 
Kuhusu suala la TL kuwa hospitali hilo linajulikana wala halina mjadala.
Liko wazi kivipi uliiona wewe ripoti ya daktari kuwa Yuko hospitali? Au wewe unasema liko wazi kwa kuwa uliona picha alizojipiga akiwa majengo ya yanayosemekana Ni ya hospitali ya Nairobi na ubelgiji? Hakuna mwenye uhakika Kama majengo aliyojipiga picha Ni ya hospitali au la sababu hakuna ripoti ya daktari
 
Ila ccm wanatapatapa sana.sasa akijitetea mwenyewe for what wakati kesi nyepesi kabisa.Mashinji ameleta taarifa je,aliyoongea ni ya uongo? Kama ni ya uongo basi weka wewe ushahidi.sio unakuja na blabla
 
Liko wazi kivipi uliiona wewe ripoti ya daktari kuwa Yuko hospitali? Au wewe unasema liko wazi kwa kuwa uliona picha alizojipiga akiwa majengo ya yanayosemekana Ni ya hospitali ya Nairobi na ubelgiji? Hakuna mwenye uhakika Kama majengo aliyojipiga picha Ni ya hospitali au la sababu hakuna ripoti ya daktari
Rais alitoa pole ya kuumwa kwa Lissu,Mama samia alienda kumwona akiwa Nairobi.Je,hao wote ni wajinga ila wewe bashite unawazidi akili?

Au unataka kusema Mama Samia aliporudi kutoka Nairobi atasema alimkuta Lissu yupo Guest House anakula bata tu?Think twice.
 
Back
Top Bottom