Tundu 'Frankenstein' Lissu

Kuna watu wakurupukaji sana!

Bro ungekuwa mtu wa tamaa sasa hivi ungejifanya na wewe ni nabii kwa kuona mbali! Usishangae 2025 watia nia wakakufuata uwapigie ramli. So what next, Are you gonna open your own church like Gwajima and see the future and start making big bucks?!! πŸ˜‚
 
Ha ha ha
mkewe ni mtu wa Kanda maalum unategemea nini
 
Mtoa mda alitakiwa aandike hii facts way back to 2017 not now. Nyani Ngabu ni mzushi sana. Lkn siyo haba kwa yeye ku-disclose ya moyoni kwake against TAL kupitia hii post yake.
Umekurupuka? Next time, anza na tarehe, then content.
 
Tume ya uchaguzi iwe huru, sio hii inayomtii mgombea mmojawapo wa uchaguzi. Hiyo ni kwa kuanzia.
Tume ya Uchaguzi inalaumiwa bure. Ebu tuwe wa kweli, kwa kauli anazotoa Mgombea Urais wa CHADEMA, anaamini yanawashawishi wapiga kura kumpa ridhaa?

Nawaza na kujiuliza tu kama kauli zake zilivyojaa dharau kwa viongozi, tena wa ngazi za juu kabisa nchini (Rais, Spika, Jaji Mkuu, Viongozi wa dini) na vyombo vya Dola (Jeshi la Polisi, Uhamiaji), je, kwa mwananchi wa kawaida akipewa madaraka, itakuwaje?

Kama mpiga kura, ninayo maswali mengi ya kumuuliza, kampeni zikianza, kama ATATEULIWA na Tume kuwa mgombea.
 
Hahahaa naona watu mmemkomalia koo Barbarooo
Kuna wakati hisia na chuki huzidi wakati tunapotoa maoni katika swala au jambo linalomuhusu mtu ambae Mara nyingi tunatifautiana nao ktk mitizamo mbalimbali. Hapo ndipo ntizamo wa babarosa ulipo angukia ndiyo maana wajuba wamemkalia kooni.
 
Kuna wakati hisia na chuki huzidi wakati tunapotoa maoni katika swala au jambo linalomuhusu mtu ambae Mara nyingi tunatifautiana nao ktk mitizamo mbalimbali. Hapo ndipo ntizamo wa babarosa ulipo angukia ndiyo maana wajuba wamemkalia kooni.
Naona huko aliko hana amani kabisa kila akipita mtaani anahisi ananyoshewa vidole
 

Uko sahihi, je hao viongozi wa juu unadhani hatujui mwenendo wao kwenye uongozi? Nipe tofauti ya dhahiri kati ya lugha za Magufuli na Lisu. Naona unawachanganya viongozi wa dini, sijui uhamiaji nk, ili uweke kundi kubwa la kumfichia Magufuli. Lisu yuko hivyo kutokana na tabia za Magufuli, na yoyote anayelazimisha kuwa anatukanwa ama kukejeliwa na Lisu, ni yule aliyeamua kujivika umagufuli. Ana madhara gani kwa mwananchi wa kawaida, au hao viongozi wa ccm wanaoendesha dhuluma ndio wananchi? Achenia kujifichia kwa wananchi. Tendeni haki ili mdai heshima, sio mtende ufedhuli kisha mjifichie kwa wananchi.
 

Kwa kuwa Magufuli ana tabia ambayo Lissu, kwa hisia zake, anaona ni mbaya:
√ je, kama mtarajiwa wa madaraka makubwa nchi hii, inamhalalisha kufanya hivyo hivyo?
√ Ni sahihi kurudia kosa la mtu mwingine?
√ Je, huoni mashambulizi ya Lissu dhidi ya Magufuli ni ishara ya kulipiza kisasi akipata madaraka?

Viongozi wa CHADEMA kwa makusudi au kwa kutokujua, wanadhani kushambulia viongozi wa CCM na Serikali yake, ni mtaji wa kisiasa. Wameichokoza wenyewe wajiandae kwa matokeo.
 
Tatizo hao unowaita viongozi wa juu, wewe unawachukulia kama miungu fulani inayotakiwa kutukuzwa.

Kwenye nchi zilizoendelea hao watu wanachukuliwa kama watumishi wa umma, hivyo wako subjected to demands of their people
 
Hivi wewe unadhani kuwa kiongozi wa Juu ndio kuwa na busara? Hivi Ndugai Ana busara gani na nanhii naye Ana busara gani,anashinda mwaka mzima anaongea matusi tu jukwaani na mabarabarani.
Lissu anaongea ukweli mtupu.
Mtazoea tu,najua hamkuzoea.
 
Hivi wewe unadhani kuwa kiongozi wa Juu ndio kuwa na busara? Hivi Ndugai Ana busara gani na nanhii naye Ana busara gani,anashinda mwaka mzima anaongea matusi tu jukwaani na mabarabarani.
Lissu anaongea ukweli mtupu.
Mtazoea tu,najua hamkuzoea.
Kuna madogo wa darasa la saba, walimuuliza mwalimu wao wa maarifa ya jamii.

Bunge likiwa na spika hopeless kama Job Ndugai ni njia ipi inaweza kutumika kumtoa kwenye hicho kiti kabla ya miaka mitano
 
Haya mahesabu nimekupa vizuri kwenye uzi ule.
Tindo,acha kabisa kubishana huyo kiumbe,yaani huyo Hana anachoelewa kabisa Ni mweupe kabisa.
Nakufahamu vizuri Sana Mkuu Tindo wewe Ni mtu mahili Sana humu jukwaani usishushe heshima yako kwa huyo robot.
Kuna wanaCCm Wana michango ya maana Sana lakini sio huyo.Unapoteza heshima na muda wako tu.
 
K
Kuna madogo wa darasa la saba, walimuuliza mwalimu wao wa maarifa ya jamii.

Bunge likiwa na spika hopeless kama Job Ndugai ni njia ipi inaweza kutumika kumtoa kwenye hicho kiti kabla ya miaka mitano
Kweli kabisa mkuu,Ndugai hastahili heshima yoyote.
Uliona wapi spika akaramba miguu ya Rais hapa duniani.
Huyu Ni spika wa hovyo kabisa hapa duniani halafu fisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…