Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Elimu Bado Inahitajika Minyumbu Ya Ccm Imekomalia Ushoga Ambao Lisu Ajaukubali Wala Kuukataa, Wamesahau HAta bajet Yenui Ya Zaidi Ya Asilimia 40 Inatoka Kwa Hao Wazungu
 
Ndugai atasema "mbona anaenda chooni kama hajapona"?
Awamu hii aibu hakuna kabisa
 
Propaganda Dhidi Ya Lissu Zinaendelea, Apambambana Na Wanazi Wa Chama, Ni Mnyukano Wa Karne
 
Mwenyezi Mungu amemnusuru Lissu kumulika/radiate ukweli Tanzania iliyogubikwa na kiza kinene cha unafiki.Lissu mkweli wa Mungu.
Tunaendelea na uchunguzi kujua kama Lissu ni Mtume mpya wa Mungu au la , tukikamilisha kazi majibu tutayaweka hapahapa
 
View attachment 1000477
Tundu Lissu MP
HARDtalk

HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'.

Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017.

Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?


Nimesikiliza,ila kwenye Ushoga Hapana TL
 
Steve with a book,lissu with his brave brain


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Afu jamaa anomba ulinzi wa Serikali ya Tanzania via BBC,anasahau mara ya kwanza aliomba ulinzi via media badala ya kureport polisi akaishia kula Njugu.Kamanda nakushauri tumia weledi wako wa sheria na kulishirikisha jeshi letu hakika utakuwa salama.
 
Mh. Tundu Lissu kwanza napenda nikupe pole kwa yote yaliyokukuta na kukutakia heri katika matibabu yako ya mwisho mwisho kabla ya kurejea nyumbani. Nijikite kwenye mada husika. Kwa sasa toka umeanza kutembea huko nchi za nje na kuanza kuongea na marafiki kuhusu shambulio lililokuacha na kilema cha maisha, kumetokea kelele nyingi na vitisho na hata upotoshaji kwamba unaichafua nchi kwa kuongea na marafiki. Napenda nikutie moyo, usiwe na hofu na hizi kelele kwani wanaopiga kelele ni wale wale walioona ni sawa kwa yaliyokukuta na wengine hawakuwa tayari hata kuona unapata matibabu stahiki kutokana na nafasi yako. Nina hakika hakuna mahali popote uliposema umeshambuliwa na watanzania bali watu wenye nia ovu, ambao hawakutaka wewe uendelee kuishi kwa sababu wanazozijua wao. Hatuna shaka na uzalendo wako na wala hatusubiri wao watuambie nani ni mzalendo na yupi sio, kwani ndani ya miaka hii 20 iliyopita wazalendo wa kweli na walinda vyeo tunawafahamu.

Wote tuna uelewa wa kutosha na tunajua kwamba unaongea na marafiki na ni haki yako kufanya hivyo popote ndani ya dunia hii. Hao wazungu inaoonekana ni nong’wa wewe kuongea nao wote wana mahusiano mazuri na nchi yetu na wana miradi mbalimbali hapa nchini. Iweje ukiongea nao wewe ndio iwe kosa? Je ni kosa wewe kutafuta marafiki toka nje? Spika huyu anayejifanya anakuita leo yeye ndio kajificha nyumba ya sheria ili usipate matibabu. Nitashangaa sana kama utatii amri yake ya kurudi nyumbani bila kumaliza matibabu na ratiba zako, kwani hana nia njema na wewe na hofu yake ni wewe kupata marafiki toka nje. Iwapo alishindwa hata kuja kukutembelea ukiwa kwenye matibabu, iweje leo ageuke kukupangia ni lini urejee? Anakutisha kwamba usiporudi hutakuwa mbunge, kwani ungefariki baada ya shambulio ungekuwa mbunge? Ubunge ni nini mbele ya uhai wako? Je anadhani wewe umepanga kuwa mbunge wa maisha mpaka uogope kuukosa huo ubunge? Yeye ndio anapaswa kuutetemekea huo uspika maana anaweza kupata matibabu yoyote ayatakayo dunia hii na kwa muda wowote. Wewe hujatibiwa na hela ya bunge, hivyo ni kama umeshatolewa kwenye huo ubunge, na iwapo atakutoa itakuwa ni marudio tu. Wanajificha eti uje kuwatetea wananchi wa jimbo lako, ni kweli, lakini kodi mpaka leo wananchi wa jimbo lako wanalipa, kuna madiwani nk hao wanatosha kusimamia maendeleo ya hao watu wako. Asikutishe mtu kuhusu wewe kuongea na mzungu maana wao hawana hati miliki ya kuongea na wazungu, kwani wamejaa hapa nchini.

Sasa hivi nia yako ni kugombea urais, jitahidi kutafuta marafiki huko nje ili ukiwa rais uwe na marafiki wengi utakaoshirikiano nao ili kuleta maendeleo ndani ya nchi hii. Angalizo muhimu, asikudanganye mtu, kwa mwenendo wa uchaguzi ulivyo hapa nyumbani, sioni wewe kutangazwa kuwa mshindi bila msaada wa hao marafiki wa huko ulaya kwani wote tumejionea jinsi box la kura lisivyoheshimiwa. Kumbuka washindani wako wanategemea vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kushinda. Hivyo na wewe usipopata marafiki wenye nguvu, unaweza kushinda usitangazwe, lakini kwa msaada wa hao marafiki na nguvu yetu wananchi haki itatendeka hata kwa shingo upande.
Ombi langu kwako, kuwa mzalendo kwa nchi na sio kwa serekali, waeleze hao marafiki fursa zilizopo hapa nchini kama madini, lakini ushirikiano uwe ni win win situation, wahimize waje kutalii hapa nchini kwani tuna vivutio vingi vya utalii. Waambie tunahitaji wawekezaji na ukiingia madarakani utawawekea mazingira mazuri ya wao kuja kuwekeza ili vijana wapate ajira.
Huo ushindi autolee wapi acha kujipa matumaini hewa. Hakuna mjinga atampa ridhaa ya kuongoza nchi mtu kama Tundu Lissu. Hapo tu hajapata urais anaanza kuuza nchi kwa wazungu, akipata je si wazungu watashika idara zote nyeti.
 
Dah!!! nimeisikiliza hii hard talk lakini naona Mh. Lissu kaniangusha sana sehemu 1 muhimu, pale alipoulizwa atoe evidence kuwa wabunge wananunuliwa na sio kwamba wanaenda kuunga mkono juhudi za President Magufuli.
Nilitegemea swala la video ya uthibitisho iliotolewa na Lema na Nassari ambayo alikabidhiwa mkurugenzi wa takukuru ingetumika kama ushahidi wa kununuliwa kwa madiwani na kwa kuwa haikufanyiwa kazi na hakukuwahi kuwa na uthibitisho wowote kuwa ilikuwa fake kama alivyojitanabaisha mmoja wa wanunuliwaji Ole Sabaya ingetumika kama strong evidence lakini Mh. Tundu alimiss hyo opportunity. BTW maybe next time atajiandaa vyema maana hii mechi yake na Stephen ilikuwa kama AS Vita vs Simba walioenda na matokeo yao Kinshasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaongea pumba tupu,kaachiwa ajilopokeee tu,mazuri yote yaliyofanywa na serikali kashindwa kujibu kwa hoja akajikuta anaitangaza Kibiti na Rufiji bila kupenda,afu akapigwa mtego wa kikonki akanasa faluku tu,na uzuri BBC wamemwambia hata 2020 kuna kila dalili Magufuli atabaki madarakani Lissu akashindwa kumeza.
Wamemalizia kwa kusema magufuli dikteta ambaye anajulikana dunia nzima 2020 una mbinu gani za kumuondoa dah Magu saa hizi atakuwa ananyeswa uji wa ulezi dunia nzima watu milioni 320 wameshajuwa jamaa ni muuaji jambazi fisadi roho mbaya mshindwa kuinua uchumi wa nchi dakika 23 maliza magufuli
 
View attachment 1000477
Tundu Lissu MP
HARDtalk

HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'.

Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017.

Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?


To God be the glory,when I look at him I see the real power of God,Matendo yako Mungu yanatisha.
 
Back
Top Bottom