jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Vyovyote usemavyo, lissu kaongea kizungu ila hajajibu kiufasaa swali hata moja.Wewe ndiyo hujui kingereza hata hujaelewa kitu inaelelekea wewe ni mbumbumbu hata hujui kuwa Tundu Lisu hakujipeleka huko bali wenyewe ndiyo walimwalika baada ya wewe kumpiga Risasi akaenda kutibiwa huko, chanzo ni wewe kama wewe ungeacha njama za kumuua leo hii asingekuwa huko angekuwa nyumbani Tanzania anaendelea na kazi zake.