Tunda man: Lowassa ndiye anafaa kuwa Rais

IamPrince George

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
412
168
Hayo ni maneno ya msanii mkubwa wa Tanzania ajulikanae kama Tunda Man alipoweka wazi kuwa Tanzania inahitaji Rais mwenye uwezo wa kushughulikia matatizo ya wananchi na kukemea maovu bila kumwonea mtu haya.

Akasema Rais huyo ni Edward Ngoyayi Lowassa.
 
Attachments

  • 1422180872771.jpg
    1422180872771.jpg
    64.6 KB · Views: 433
Hayo ni maneno ya msanii mkubwa wa Tanzania ajulikanae kama Tunda Man alipoweka wazi kuwa Tanzania inahitaji Rais mwenye uwezo wa kushughulikia matatizo ya wananchi na kukemea maovu bila kumwonea mtu haya.

Akasema Rais huyo ni Edward Ngoyayi Lowassa.

Heading ya posting na ya kwenye picha ni tofauti kabisa, sijui kwa nini umebadilisha?! Hivi mwaka huu hatuchagui Rais kuptia sanduku la kura, iweje useme fulani ni Rais au ni kumrithi Shekhe Yahya!!!
 
Mimi nimenukuu kama ambavyo Tunda amesema, halafu LOWASSA ndio chaguo la Watanzania kwa 80%
 
Kitu kizuri ni kuoana namna ambavyo hata wasanii wanavo muunga mkono LOWASSA, na naamini ndiye hasa chaguo la watanzania,
Mazuri aliyoyafanya kipindi cha uongozi wake ndio hasa chachu ya kukubalika kwake
 
Anataka shavu la show za kampen huyo

Shavu halitafutwi kwa namna hiyo, turudi nyuma kidogo, kiongozi jasiri na shupavu, mwenye maamuzi magumu na sahihi, mwenye malengo ya kuikomboa jamii ya Tanzania, malengo, mikakati, mipango na utekelezaji uko kwa LOWASSA, hayo ni baadhi ya mambo yawafanyayo watanzania kuguswa na kuamua kupigana ili LOWASSA aingie IKULU.

Kiongozi wa kuangalia masilahi na vipaumbele vya wananchi, Lowassa anasema katika moja ya ziara zake Nchini China kuwa baiskeli ni moja ya usafiri mkubwa sana, sisi tuna boda boda, kikubwa hapa ni kutengeneza mazingira ya hawa vijana waliojiajiri kufurahia kazi yao badala ya kuwapiga marufuku kuingia mjini.

Anaongelea kurasimisha sekta zisizo rasmi na kuwa chanzo cha kipato kwa watanzania, hayo ndio mambo yawafanyayo watanzania kuguswa na na LOWASSA kama the next President of TANZANIA
 
Hayo ni maneno ya msanii mkubwa wa Tanzania ajulikanae kama Tunda Man alipoweka wazi kuwa Tanzania inahitaji Rais mwenye uwezo wa kushughulikia matatizo ya wananchi na kukemea maovu bila kumwonea mtu haya.

Akasema Rais huyo ni Edward Ngoyayi Lowassa.

Halafu makamu atakua babu tale
 
Back
Top Bottom