Tunda la mti wa kati sio hicho unachomaanisha hapo juu. kumbuka Adam alikabidhiwa bustani ikiwa na huo mti wa kati akakatazwa asile kabla hata Eva hajaumbwa kutoka ubavuni kwa Adamu. Eva alikuwa bado yupo Ndani ya Adam.
Tunda la mti wa kati ni kuishi kwa kuutumuainia mwili ambao upo chini ya sheria (Torati) ukishajua sheria tayari unhukumiwa kwa hiyo. Mungu aliona suluhu wanadamu wasijue sheria. Lakini walipomsikiliza shetani alipowafunulia wakaona mbona sheria ni nzuri inasaidia kujua mema na mabaya? jambo ambalo ni kweli ila hawakujua ukishajua jema usilitende inaleta hukumu. Ndo kilichotokea na mauti ikaingia.
Kwa hiyo tunda la kati sio tendo la ndoa. infact Mungu aliwabariki Adam na Eva wazae waongezeke. sasa wangezaaje pasipo tendo la ndoa