Tunda gani hili?

....

.......Mungu akipenda Mwaka mpya ntakuwa huko kusherekea naanzia Ngorongoro Serengeti ..Mungu atupe nini watizedi??

Aisee ngoja nijitahidi nami niwepo tutawasiliana
 
Thanks, naona nilichanganya. The specie is new to me. Kwetu miombo woodland hiyo kitu haipo, inayofanana kidogo ndio hiyo but ni two far different species
 
Kitu cha Moshi hicho.

Ni kweli cha Moshi.kikwetu tunaitaga hayo matunda "elimu". Huo mti ni mgumu sana na unatumika kujengea na mara nyingi hupandwa mpakani pia majani yake ni chakula kizuri kwa mbuzi
 
dah ata mm nakulaga ila jina clijui kabisa
 
Kiukweli kabisa yanaitwa Shitunda. Matam kupita maelezo haswa yakiiva hivyo. Utadhani Kilombero sugar imehamia humo ndani. Dah! Mate yamenitoka. mshana jr acha kuwatamanisha watu kihivyo
 
Kiukweli kabisa yanaitwa Shitunda. Matam kupita maelezo haswa yakiiva hivyo. Utadhani Kilombero sugar imehamia humo ndani. Dah! Mate yamenitoka. mshana jr acha kuwatamanisha watu kihivyo

Ila usiombe ukipata magwadu ni dawa nzuri sana kwa mimba changa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…