Tunda gani hili?

Nashangaa sana hili tunda kuwa na majina ya kienyeji tu.......nimeyala sana na yapo mengi sana kwetu......ila ndio tunayaita helimu kama hivyo........

ma bwana shamba tupeni hata scientific name........tugugo.....

Uapaca nitida
 
Heee heee sambia hizo (kwa kisambaa) umenikumbusha home
 
.....No No No weee botany na Geology imelala hapa .....

hiyo kitu inaitwa Eriobotrya japonica ....chaga Mtangawizi ,shitunda, Luguru msambwawa kizungu...Sambaa msambia

Uapaka nitida
ni hii hapa chini...in tanzania found in geita iringa njombe ruvuma and mbeya

cc Preta Kaunga
 
nimejaribu kuwekapicha ya stafeli imegoma. sorry for that
 
Owkey........nimepasua nikakuta ndani liko hivi.......ni eryobotrya japinicum.......japanese plum....

Attachments

  • image.jpg
    13.9 KB · Views: 639
Nashangaa sana hili tunda kuwa na majina ya kienyeji tu.......nimeyala sana na yapo mengi sana kwetu......ila ndio tunayaita helimu kama hivyo........

ma bwana shamba tupeni hata scientific name........tugugo.....
Scientific name; Lekimelia simplotasis
 
Na Lushoto....zawadi na kombe na cash unabeba wewe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…