Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

We utakuwa dalali kuna cha juu hutaki boss ajue bora usitangaze biashara zako kama unaficha bei. Bei ndo kitu pekee knachomshawishi mtu mpaka anaanza kudadisi mengine nakupa siri hyo ndo kiunganishi/kichocheo cha biashara yako vinginevyo usitangaze maana huku mtaan yapo kibao maduka ya betry nao wanatoa sifa hzo hzo tena muda mwingne uzidisha
Mimi sio Dalali mkuu. na wala Sijaficha bei nimetoa namba zangu za simu ili wadau wanipigie simu niwape bei. au watume email kwangu nitawajibu.

halafu ngoja niwape mfano mmoja miaka 2 nyuma nilikuwa kampuni moja nilikuwa nauza brand nyingine ya betri na nimeuza hizo betri sana kwa wateja mbali mbali na niliweka tangazo lake humu JF na niliweka pamoja na bei zote, baadaye miezi 6 bei zilibadilika na ikawa wateja wapya wanasoma tangazo wananipigia simu lakini nikiwaambia bei imebadilika hawataki kuelewa na wanaenda kununua sehemu nyingine. kwahiyo nimejifunza kupitia makosa yangu.
 
new stock awaiting order
 
Attachments

  • 69370667_2458197784241261_5269060668937469952_n.jpg
    69370667_2458197784241261_5269060668937469952_n.jpg
    32.5 KB · Views: 37
We utakuwa dalali kuna cha juu hutaki boss ajue bora usitangaze biashara zako kama unaficha bei. Bei ndo kitu pekee knachomshawishi mtu mpaka anaanza kudadisi mengine nakupa siri hyo ndo kiunganishi/kichocheo cha biashara yako vinginevyo usitangaze maana huku mtaan yapo kibao maduka ya betry nao wanatoa sifa hzo hzo tena muda mwingne uzidisha
Huyu jamaa sio bure ni Dalali alieweka cha juu kikubwa. Ye bei anaona dili Sana kuitaja, abaki tu na betri zake. Kesho nakamatia zangu Atlas
 
Huyu jamaa sio bure ni Dalali alieweka cha juu kikubwa. Ye bei anaona dili Sana kuitaja, abaki tu na betri zake. Kesho nakamatia zangu Atlas
kwa mdau ambaye ni mkweli anashauku ya kujua bei zetu angeshanipigia simu zamani na ningeshamtajia bei zetu na yeye angeshafanya maamuzi aende akanunue wapi,
halafu wapo wadau wawili wamesoma tangazo hili hili na wamenipigia simu na nimewauzia leo leo N70 na kwa bei poa kabisa.
karibu TNT betri imara na za kisasa. phone- 0767-379412.
 
Sawa,
Endelea kuficha tu bei,
 
Umeona ulivyokosa pesa sasa hapa ulipoitaja bei umepungukiwa na nn? Inamaana mtu akiuliza mtaan akaambiwa 130000 lazma akurudie atakumbuka kuna jamaa alitangaza kwa 110 hvyo ndo biashara ufanywa mm ni mfanyabiashara naelewa ili ninalokwambia kama mfanyabiashara mwenzang

sio mbaya leo nimeuza betri 6 kwa wateja wangu waliosoma tangazo hili hili.
 
n170 in stock. welcome- 0767379412
 
Attachments

  • 68971718_2454116924649347_739951267995975680_n.jpg
    68971718_2454116924649347_739951267995975680_n.jpg
    45.2 KB · Views: 22
bosi nipe namba yako ya simu nikupigie ili nikupe bei ya betri unayotaka. ukiona bei zetu hazilipi kwako sawa ni maamuzi yako na ndio maana nimeweka tangazo mtandaoni ili wadau wanipigie simu niwape habari za bei. kwahiyo nifuate chemba bosi. simu yangu 0767-379412. call me au nipe namba yako nikupigie tuongee nikupe bei ya betri zetu.
ninakuhakikishia bei zetu hazina tofauti sana na huko unakoenda kununua.

mimi sio dalali.
Weka bei achana na longolongo
 
Nawatangazia biashara kwa wadau wote wa Dar na mikoa yote Tanzania, wote wenye mahitaji ya betri mpya kwa ajili ya magari aina yote na betri kwa magenerator na mashine mbali mbali.

Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri, imara na ni bidhaa quality tunakupa warranty ya mwaka mzima.

SIMU -0737-017866 AU 0767-379412.
EMAIL- jopelo.john@mail.com

Tunasafirisha mzigo kwa wateja wote wa mikoani na gharama za usafiri itaongezeka

Tupo Vingunguti, Dar es salaam.
SIMU -0737-017866 AU 0767-379412.
EMAIL- jopelo.john@mail.com
Mkuu ukiweka bei naomba unitag nije kuangalia
 
Back
Top Bottom