Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

Mie sipigi simu weka bei ya N50 dry hapa ili ninunue nipo serious juzi nimekuuliza unaleta hadithi nyingi nikaenda kununua N70 kwa Tshs 185,000 kwa wahindi sasa wewe endelea kuficha
 
Mie sipigi simu weka bei ya N50 dry hapa ili ninunue nipo serious juzi nimekuuliza unaleta hadithi nyingi nikaenda kununua N70 kwa Tshs 185,000 kwa wahindi sasa wewe endelea kuficha
hahaha, hio bei ya N70 umetaja kwasababu nimeitaja kwa mdau niliyemjibu kwenye uzi huu na bei ya n70 za huku mtaani hawauuzi kwa bei hio ni zaidi ya hio bei.
 
Nina shida na battery lakini ningependa uniambie hapa hapa bei ya N 50
sababu zangu nimeshazisema mkuu. kama unaona utapoteza credit kunipigia simu basi poa,
mteja ambaye anajua bei za soko la mabetri kwingine na akija kwangu atajua utofauti mkubwa.
 
WAHI MZIGO HUU KABLA HAZIJAISHA. WEKA ODA YAKO NOW, 0767-379412.
 
Attachments

  • 69368942_2458198567574516_506071641390841856_n.jpg
    69368942_2458198567574516_506071641390841856_n.jpg
    51.5 KB · Views: 19
sababu zangu nimeshazisema mkuu. kama unaona utapoteza credit kunipigia simu basi poa,
mteja ambaye anajua bei za soko la mabetri kwingine na akija kwangu atajua utofauti mkubwa.
Sawa mkuu ila siku ukiwa tayari kuweka bei ni tag , biashara yako na maamuzi ni yako pia
 
Biashara ni yako uamuzi pia ni wako tutanunua tulikozoea
hahaha, hio bei ya N70 umetaja kwasababu nimeitaja kwa mdau niliyemjibu kwenye uzi huu na bei ya n70 za huku mtaani hawauuzi kwa bei hio ni zaidi ya hio bei.
IMG_20190828_164926.jpeg
 
TNT MABETRI BORA KABISA. KARIBU, 0767-379412.
 
Attachments

  • 68587620_2458198454241194_6279027322423083008_n.jpg
    68587620_2458198454241194_6279027322423083008_n.jpg
    56 KB · Views: 14
WADAU Wengi hawajui kwamba unaweza kupata vitu kwa bei nzuri hapa hapa Jamii forum. vilevile, karibuni. 0767-379412.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom