Tunazinguana buree hapa jf

Tunazinguana buree hapa jf

Ha ha haaaaa Mjuni Lwambo mi sijamaanisha hivyo, nimemaanisha nani anakuwa mkaree.
Ahaaaa, hili swali huwa linaulizwa sana, hakuna hati miliki juu ya hili, ni yeyote tu ME au KE kutegemeana na sababu mbalimbali kama vile nani alikuwa na mzuka sana, nani fundi zaidi, nani anajituma zaidi n.k
 
Umesomeka mkuu.
 
Ndio maana nasema ni ajabu kidogo!!!!!!!! Unatongoza hujui kama ni ME au KE!!!!!!!!! Unaona avatar ya kike unatongoza, eh!!! kama wewe avatar yako mtu atadhani ni binti ataanza kutongoza, jamani!!!!!!!!
CHUAKACHARA, taratibu mie ni KE na mvuto zaidi ya Avatar, lakini kutongoza bila kumfahamu unayemtaka nalo neno, ati!!!!!
 
Last edited by a moderator:

KanaKoMuhaya, nimeutamani mvuto wako, kama ni zaidi ya avatar yako basi kuna ka mvuto. ! Usimtongoze mtu humjui wanaume achana nao, usijifunge kwa mtu humjui, wengine tunaumwa humu jamvini. Karibu kwetu KaisikiKoMuka!
 
waitu, Bojo kaziro Oije oshemeze, kyonka CHUAKACHARA Olamanya olushengo, bojo Olalege!!!! Kaziro nakuganyira.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom