CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Last edited by a moderator:
wengi hawaamini lakini ukweli ni huo walio bahatika ni furaha kwao...!!na walio twendwa kama mimi naona nimewagusa japo kimyakimya..!!Bila shaka mleta mada lazima achanganyikiwe total na wala sio pashali..
Wengine wanamwambia hakuna mizinguo wengine tunaamini wengine usiamini kweli embu kapate hedex upunguze mawazo...
Watu wameoana hapa na wengine wapo ndani ya mapenzi moto moto, lakini kamwe hawawezi kukwambia tulikutana jamvini.
Yaani leo umeandika Point Kubwa sana Mkuu I salute UUUUUUUUUUUUUU!!! Maana Na Ndoa zimetoka Humu Humu jamvini lakini watu wapo Kimyaaaaaaaaaaaaa!!! hawasemi.
New news kuwa watu wanatongozana humu JF. nilikuwa sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kutongozwa kupo tena mpaka ME kwa ME na KE kwa KE. BUT kufunga ndoa mmmhhh!!
Acha hizo, mimi nime m PM mwanaJF tukakutana laiv, kanipa mapenzi ya kufa mtu, yaani ninamfaudu.
Hahahahahaha usiombe kukutwa na bwana pespsi!
Kutongozwa kupo tena mpaka ME kwa ME na KE kwa KE. BUT kufunga ndoa mmmhhh!!
wengi hawaamini lakini ukweli ni huo walio bahatika ni furaha kwao...!!na walio twendwa kama mimi naona nimewagusa japo kimyakimya..!!
Kutongozwa kupo tena mpaka ME kwa ME na KE kwa KE. BUT kufunga ndoa mmmhhh!!
Yeye anaenjoi tu, ila mimi ndio ninamfaudu.Unamfaudu au mnafaudiana, au yeye amekwambia hakufaudu?
Yeye anaenjoi tu, ila mimi ndio ninamfaudu.
Yaani leo umeandika Point Kubwa sana Mkuu I salute UUUUUUUUUUUUUU!!! Maana Na Ndoa zimetoka Humu Humu jamvini lakini watu wapo Kimyaaaaaaaaaaaaa!!! hawasemi.
Mnaweza mkaamua tu yeyote akawa juu mwingine chini baadae mkabadilishana, teh, teh.Anaye enjoy na anaye faudu nani yuko juu?
Mnaweza mkaamua tu yeyote akawa juu mwingine chini baadae mkabadilishana, teh, teh.