Tunazinguana buree hapa jf

Tunazinguana buree hapa jf

nadnan sab

Senior Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
104
Reaction score
17
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
 
New news kuwa watu wanatongozana humu JF. nilikuwa sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
Shaurilo, wenzako tunakamua alizetu, wee piga tu makelle yako ya kuumizwa moyo na mapenzi ya makatuni.
Ushauri,
Usishoboke na uzuri wa avatar
 
kwa hili hit like then sepa fasta maana ni pwointi tupu..
 
Kumbe ulikuwa unanitania mi nikajua unanitongoza siriasi na nshaanza kukupenda ujue!!!!!!!

Acha utani mpenzi wangu, kwanza sijui kama wewe ni binti maana humu any name can mean any sex. Kukutongoza hadharani kweli, mtu aliyesriasi anatumia PM au vipi. Whisky yangu iko wapi
 
Watu wameoana hapa na wengine wapo ndani ya mapenzi moto moto, lakini kamwe hawawezi kukwambia tulikutana jamvini.

Last edited by a moderator:
pole sana
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
 
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
Acha hizo, mimi nime m PM mwanaJF tukakutana laiv, kanipa mapenzi ya kufa mtu, yaani ninamfaudu.
 
Asprin ur getting veeery old
 
Last edited by a moderator:
Haha haaaaaaa.. Uwiiiiiiii

Ukisikia paaaaaa.. Ujue imekukosa !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom