Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

Status
Not open for further replies.

Majaribu2013

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
952
1,043
JFL&G,
Huu ni ukweli hata tukipinga hakuna mwanamke asiyejiuza tofauti kuna aina mbili tu za hii biashara.

1. Wale wanaojiuza kwa kutafuta wateja kusimama mabarabarani.
2. Hawasimami barabarani wanaenda kwa special order, kufahamiana kwanza kama urafiki, kupitia mitandao, kukutana kwenye bar na magari n.k

Ukitaka kujua kuwa wote hawa wanajiuza, mlale mwanamke halafu usimpe noti uone zali litakavyokuwa!


======================================================
Updates 1.
======================================================
Fanya uchunguzi hapahapa jijini Dar, nakuhakikishia ni wanawake wachache sana labda 2%-10% ambao hawako kibiashara juu ya mapenzi.

1. Kuna demu mzuri sana anafanyakazi (ofisi kubwa) ya sirikali mshahara wake ni zaidi ya Tshs m2 kwa mwezi anabwana ake tena wameshibana lakini juzi tu akawa anataniwa na rafiki yangu mmoja mwenye nchi ndafuu sana kuwa nataka kukuoa, kama vipi uje home tuonje tunda bana, tena demu aliweka mafuta yake akaja na gari yake akavurugwa kisa uanjua nini hapa?? Pesa huyu anajiuza ila yeye ni kwa investiment huyu ni MUWEKEZAJI!!

2. Kuna demu anasoma chuo kikuu anatamba sana kwenye mitandao na kuweka picha ya bwana ake kila mara juzi kati mchizi wangu kamuanzishia chat kwa fb mpaka muda huu kashatoa uroda biashara ni ileile kila akitaka kutoa nauli, alipewa mara ya kwanza elfu 20 alikasirika sana, huyu ni mjasiriamali.

3. Nenda Bar yoyote Dar, hata mhudumu unayemuona anajiheshimu akikuletea soda au bia yako mnong'oneze mwambie nina lfu 50 tukalale wote, hakikisha una simu maana tayari mzigo umepata hii nayo ni biashara anauza sema tu ni parti time.

4. Usimuone mmama wa makamo mkubwa na mkurugenzi wa kampuni fulani mwambie ninajua kula mzigo lazima utampata tu wewe usiogope sura yake na heshima yake ongea tu, huyu naye anauza sema yeye ni doner.

5. Mademu karibia 80% Dar wanamabwana zaidi ya 5 kila mmoja amepengwa kisawasawa, kweli anao watano aende buguruni kufanya nini?

Hata mkikataa mnajiuza tena mnajiuza vibaya sana dunia imeisha tu.


==================================================
Updates 2
==================================================
Nimepata PM nyingi sana za malalamiko, nimeona post kama mbili zimeanzishwa kuipinga hii post bahati mbaya zimekuwa post za hasira ma matusi badala ya kuiface hoja. Najua pia wengi sana watakuwa wamebofya report abuse vya kutosha, na hata kunichongea sana kwa mods ili thred ifutwe lakini mods wanakili wameuchunguza uzi na kuona wacha darasa liendelee. Napenda nitumie muda huu kuongezea tu machache kama kujibu hoja za wanaolalamika.

1. Kuna ukweli kwamba neno "KILA" limeleta picha tofauti lakini si picha ya mantiki, na kwa kudhihirisha kuwa wanawake wamekamatwa pabaya ni pale wanapokuja na hoja nyepesi ya kushadadia neno "KILA" huku wakiacha mada na mantiki kamili ya uzi. Wengine wamediriki hata kusema sina nidhamu kwa mama yangu, na nimemtukana mama yangu sijui hayo nimeyaandika wapi? Kama ni kosa na kujeneraizi mbona nanyinyi mnajeheraizi kwa kuniambia nimetukana mama yangu? Unajua mama yangu yuko wapi? anafanya nini? ana umri gani? Kwanini mnamface mama yangu? kwani ndo kaandika hii thred? mniface mimi mwenyewe.

2. Ukweli uko hivi, hili neno "KILA" limejumuisha wanawake wote wanaojihusisha na ngono, kama mama yako, dada yako, bibi yako hajihusishi na ngono wanini kumuunganisha kwenye thred ambayo haijamtaja? Lakini pia nimesikitika sana kwamba mnasahau ukweli ulivyo, hebu angalia hapa chini:-

=======>>>> Kusema kweli kwa mwanamke anayejiheshimu, anayeshughulika na mambo ya maana asiye na tabia za kuelekea na haya niliyoyasoma hawezi kukaa kukoment mada za ujinga ujinga huku JF, nyinyi mnaotukana na kuonyeshwa kukerwa na hii mada mmekoment mada ngapi za kipuuzi na kipumbavu humu ndani? siyo nyinyi mnaoshadadia kila mada ya huku MMU ya kuchangia bila kukosa? hili tu linaonyesha nafsi zenu zilivyo na utayari wa kuunajisi usafi mnaoutetea.

========>>> Kama kweli inawauma, mnasahau msemo usemao samaki mmoja akioza wote wameoza? Kama mna nia na mnasema mpo wanawake wasafi na wenye tabia njema pambaneni na hao wanawake wanaowachafulia jina kwa kuwaelimisha, kama wataendelea sifa inabaki vilevile kwa wanawake wote, acheni kulia lia vinginevyo jibadilisheni jinsia. Waelimisheni hao dada zenu, na machangu n.k wajiheshimu wasijiuze.

========>>> Kama mnabisha hao wanaojiuza wanatoka wapi? Si kwenye familia zenu nyinyi ambao mnajidai wasafi? mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Daima boga huzaa boga na nguruwe huzaa nguruwe, kama wazazi au wanawake mngekuwa mnatabia nzuri ongezeko la maasi ya wanawake kujiuza lingeongezekaje??? Jichunguzeni siyo kuja kunililia mimi hapa nimewadhalilisha angalia uovu unaofanywa na wanawake wenzenu mlie nao hao maana kama kuna mamba mto Ruaha basi tutasema Mto ruaha una mamba!

======>>> Kusema kweli wanawake mmeharibika mno siku hizi na mnatumia kigezo cha maisha magumu, ni aibu sana kwa wanawake, je wewe unayejidai ni msafi ulishawahi kumuonya hata dada poa mmoja au kumpa elimu juu ya tabia yake hiyo? Hata hili tu linatosha kuwaingiza kwenye lawama kwamba mmewaangalia tu wenzenu wanawachafua, unataka nani akuite msafi wewe wakati wanawake wenzako wanainajisi jinsia yako na wewe unaangalia tu? Ulishawahi kusikia tamko au wanawake wanaandamana kupinga wenzao wanaojiuza? fungeni kinywa cha kulalamika angalieni kwa undani mnaelekea kubaya zaidi.

=====>>> suala la ngono au tendo la ndoa siyo baya lenyewe lipo tu, na lipo kwa ajili ya furaha ya wote mwanamme na mwanamke, wote wanahitaji hicho kitu hakuna anayekataa, shida inaanzia pale nyinyi mnapoinuka na kwenda barabarani kuomba hela ili mfanyiwe ngono upuuzi mkubwa sana huu, au kuwatafuta wanawaume mkisha lala nao mnaomba pesa hii ndiyo imesababisha ongezeko kubwa la umalaya hapa nchini.

====>>> Sikatai mnunuzi pia anashida, lakini utanunuaje au utanunua wapi kama bidhaa hiyo hakuna? Hakuna mwanamke anayeweza kusimama sasa hivi mbele ya jukwaa akawatetea wanawake wengine kama ni samaki ameoza sana na kama ni embe limeoza sana hata likisafishwaje halifai kwa kula tena.

=====>>> Namalizia kwa kusema kwamba kama wewe ni msafi, kama mama yako ni msafi, kama mama yangu ni msafi, kama dada yako ni msafi nyamaza hakuna ujasiri wawanawake kusimama mbele siku hizi kujitetea, wengi wenu mmeoza tena mnaoshinda kwenye mitandao ya kijamii ndo hatari sana, mnatongezewa facebook tu mnakubali, hakuna lolote la kujieleza ninasema hakuna lolote la kujieleza, wanawake mmelifikisha mbali sana taifa hili, hata laana na mapigo mengi ya nchi hii yanatokana na rate ya uasherati kuwa kubwa. Mbona zamani haikuwa hivyo????

Mnisamehe
tracy, sister, charminglady, na wengine wote. Rekebisheni jamii yenu imeoza.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Updates 3
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Nimesoma polepole comment za wanawake wengi na nimegundua kwamba hiki kitu kimewauma sana. Nikajiuliza kwanini kiwaume sana tena tuko huku JF ambako tunatumia hidden ID na wala hakuna anayemfahamu mtu?? Mambo ambayo nimeyafanyia uchunguzi hapa naomba nitiririke kidogo:-

1. Maana ya kujiuza tafadhli isipotoshwe, ni rahisi tu kwamba mnafanya ngono kwa kulipwa au kulipia. Hamtoi bure, yaani bila kulipwa au kulipia hakuna dili. Sasa ukianza masuala ya wala ooo sijui hamna hela tu oo mbona wanaume hujawataja, hayo hayahusu mimi nimesema nyinyi wanwake mnapokea pesa kwa malipo ya ngono japo hamlipi VAT.

2. Kuna mdada mmoja mbishi anaonekana sijui @Cadiffy yaani yeye muda wote analazimisha kuwa mimi nimemtukana mama yangu. Hizi ni fikra za kawaida sana ambazo hazitoki nje ya box, unajua kuwa hata wewe ni mama wa mtu? Unajua hata huyo changudoa anayejiuza ni mama wa mtu? Au mnataka tusiseme kisa tunaogopa kuwa nyinyi mlituzaa tusiseme kitu? Mlizaa bila mbegu ya mwanaume? Ni lazima tuseme maana dunia mmeipa kitu ambacho hakikuwepo, kinaleta laana duniani. Acheni kujiuza. Kama mnashida na ngono toeni bure kwa mnaowapenda.

3. Kuna uchunguzi mmoja ambao nimeufanyia kwenye PM zaidi ya 40 nilizotumiwa, ukweli ni kwamba wanawake wengi wa humu JF wametuhumiwa kwa hii tabia, nawengine wametajwa hahahaha! Yaani nimekuja kusoma comment huku nikacheka sana maana wengine wanajitetea kisa tumewavurugia kwa bwana zao. Ni aibu lakini. Acheni kujiuza.
 
Aisee!!
Lakini hii inakaribiana na ukweli kiasi fulani!

Yawezekana wanawake wa hapa ndani wakabisha, lakini hakuna mwanamke asiyejiuza!...tena hawa tunaoita 'demu wangu' ndo hatari, maana anakuwa kama amejirejista kwako kuwa yeye ni mteja wako wa kudumu!

Tulikubali tu hili, kuna mambo ambayo waweza kuwa unayafanya, lakini hadi uambiwe na majirani kuwa unayafanya, ndipo utaona aibu na ukweli!

Huh!
 
JFL&G,
Huu ni ukweli hata tukipinga hakuna mwanamke asiyejiuza tofauti kuna aina mbili tu za hii biashara.

1. Wale wanaojiuza kwa kutafuta wateja kusimama mabarabarani.
2. Hawasimami barabarani wanaenda kwa special order, kufahamiana kwanza kama urafiki, kupitia mitandao, kukutana kwenye bar na magari n.k

Ukitaka kujua kuwa wote hawa wanajiuza, mlale mwanamke halafu usimpe noti uone zali litakavyokuwa!

Nakubaliana na wewe 98% , wote wanajiuza, sema katika majukwaa tofauti. Ila katika tathmini yangu, bora wale wanaosimama barabarani kuliko huyu unayemwita "mpenzi" hapo.
 
Hakuna atayekubisha bro...maana juzijuzi tu Kuna mdada alipost humu kulalamika kuwa rafiki yake analalamika bwana wake ni bahili...na wengi walicomment kuwa hawawezi kuwa na wanaume ambao hawatoi pesa!!! AISEE WANAJIUZA KWELI JAPO KUWA SI WOTE AMBAO WANAKAA BARABALANI!!!
 
nena KILA......si la kweli....mana ukisema kila umejumuisha wanawake wote......walio na ndoa na wasio na ndoa......umejuisha watawa, mama zetu...mabibi zetu.....mama zetu wakubwa....mama wadogo....mashangazi.....

nimeumia kweli....hv mama yangu anajiuza.....naomba ubadilishe neno KILA .......
 
nena KILA......si la kweli....mana ukisema kila umejumuisha wanawake wote......walio na ndoa na wasio na ndoa......umejuisha watawa, mama zetu...mabibi zetu.....mama zetu wakubwa....mama wadogo....mashangazi.....

nimeumia kweli....hv mama yangu anajiuza.....naomba ubadilishe neno KILA .......


What is marriage? Marriage is a legal prostitution!
 
nena KILA......si la kweli....mana ukisema kila umejumuisha wanawake wote......walio na ndoa na wasio na ndoa......umejuisha watawa, mama zetu...mabibi zetu.....mama zetu wakubwa....mama wadogo....mashangazi.....

nimeumia kweli....hv mama yangu anajiuza.....naomba ubadilishe neno KILA .......
Shida ni kwamba umetumia hisia badala ya mantiki ya mleta mada!

Ishu ni Wanawake...!
Unaposhangaa mtu kwa kumchanganya mama yake kwenye hili, kwanini hujiweki wewe mwenyewe kuwa ni mama wa mtu, na kwamba ulikutanaje na huyo jamaa yako!

Kuna watu wengi wameoa wale wasichana wa kule mtaa wa Orofea baada ya mapatano...bado huoni mantiki?!

So hii isikuumize!
 
Hakuna atayekubisha bro...maana juzijuzi tu Kuna mdada alipost humu kulalamika kuwa rafiki yake analalamika bwana wake ni bahili...na wengi walicomment kuwa hawawezi kuwa na wanaume ambao hawatoi pesa!!! AISEE WANAJIUZA KWELI JAPO KUWA SI WOTE AMBAO WANAKAA BARABALANI!!!


Utakuwaje na mtu afu hakuhudumii??? kila siku kwa kungwi kwa mwali lini????
kulala ulale kwangu, kodi nilipe mie, maji uoge yangu, sabuni utumie yangu, kitanda changu, kustarehe nikustareheshe, na chakula nikupikie, kila siku ww tu hadi lini???
 
Mhhhhh hii ni kali aisee kwa hiyo we mkeo anajiuza?bila kutoa chochote hupewi chakula cha usiku?mabwaku!!!!!!!!
JFL&G,
Huu ni ukweli hata tukipinga hakuna mwanamke asiyejiuza tofauti kuna aina mbili tu za hii biashara.

1. Wale wanaojiuza kwa kutafuta wateja kusimama mabarabarani.
2. Hawasimami barabarani wanaenda kwa special order, kufahamiana kwanza kama urafiki, kupitia mitandao, kukutana kwenye bar na magari n.k

Ukitaka kujua kuwa wote hawa wanajiuza, mlale mwanamke halafu usimpe noti uone zali litakavyokuwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom