Tunaweza Anza weekend hata saivi kama mnataka

Tunaweza Anza weekend hata saivi kama mnataka

Walimu tarehe zenu hizi,mshahara ukitoka mnatutesa Sana,nikupe boda yangu,unipe ualimu wako
 
Asubuhi jiandae kukata gogo jeusiiiii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna kitu kama hicho Mzee ingekuwa Yale mageniess smooth Yale ndo Yana balaa
 
Back
Top Bottom