Tunaweza Anza weekend hata saivi kama mnataka

Tunaweza Anza weekend hata saivi kama mnataka

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nmecheka mpaka nimetapika dagaa
Duuuh kwa hiyo umekula dagaa halafu unataka kunywa pombe??

Unaweza kumpa mtu ofa wakati we mwenyewe unakula dagaaa

Acha upuuzi wako wewe
 
Duuuh kwa hiyo umekula dagaa halafu unataka kunywa pombe??

Unaweza kumpa mtu ofa wakati we mwenyewe unakula dagaaa

Acha upuuzi wako wewe
Nmekula Tu dagaa lakini hela hipo Nina kama M na upuuzi ya Bata ata ww njoo upige urabu
 
Kwan kesho Eid?
776A6B29-C06B-430C-A28D-05965E546BF0.jpeg
 
Back
Top Bottom