Tunaweza Anza weekend hata saivi kama mnataka

Nimeimiss Moro
Zamani sana .. kuna sehemu nilikuwa simalizi siku 3 sijaenda kufata banana muffin.

Nimemiss pia kuku wa ndoo
Na nimemiss heka heka za road, unapanda hiace kutoka Mzinga jeshini unafika town unechafuka balaa kwa vumbi.
saivi kumekuwa kuzuri na hivi kuna mvua Hali ya hewa inaruhusu sana
 
Back
Top Bottom