~*~ Tunawaudhi ~*~

kadampinzani

Ukishafahamu Kiswahili fasaha njoo tuendelee na mjadala naona unataka kubadili mwelekeo wa hii thread na hiyo sio nia yangu. The issue ni wewe kutumiwa na makuwadi wanaotafuna pesa tunayolipa kodi. Sasa kama wewe kwa ufahamu wako mdogo wa kufikiria lazima ukae Tanzania ndio ulipe kodi hilo limekupiga chenga.

Upeo finyu wa kutokuelewa kitu kidogo kama hiki unanitia shaka hata wale unaowawakilisha.
 
na kadri wanavyoudhika na kuumia kwa hasira, wana JF wanaendeleza mapambano kama hawana akili nzuri.

I love JF!

Mkjj, count me in, harudi nyuma mtu hapa, mafisadi hawaachiwi nchi kwa hata kwa gharama yoyote ile. Lazima waione nchi moto, lazima wapagawe wakituona, lazima waaabike kwa aibu kila wanapokwenda!

Viva JF! kazi yenu inaonekana na moto umewaka!
 
Ukishafahamu Kiswahili fasaha njoo tuendelee na mjadala naona unataka kubadili mwelekeo wa hii thread na hiyo sio nia yangu. The issue ni wewe kutumiwa na makuwadi wanaotafuna pesa tunayolipa kodi. Sasa kama wewe kwa ufahamu wako mdogo wa kufikiria lazima ukae Tanzania ndio ulipe kodi hilo limekupiga chenga.

Upeo finyu wa kutokuelewa kitu kidogo kama hiki unanitia shaka hata wale unaowawakilisha.

niliuliza swali hapa kama ccm siku hizi hawana watu makini wanaojiunga chuo cha propaganda! walio hapa hadi wanaaibisha. Hakuna hoja, kutoa picha ya Mbowe na viroja vingine. Hakuna hard facts, Kikwete alifikia hatua ya kutuma mawaziri kuelezea budget kwa wananchi wakaishiwa kuzomewa.

Wameishiwa na wako desperate.
 
kijana, kama mie natumiwa kosa liko wapi ?

halafu mbona hujanipa info za ulipaji kodi ?? ACHA UFISADI BANA, UKISEMA KITU, DO IT ! sio kujikanyagakanyaga !

kodi hulipi halafu unalalamika, lawama za nini ? na huko uliko je wanakutimizia hayo mahitaji yako mzee ?
 
niliuliza swali hapa kama ccm siku hizi hawana watu makini wanaojiunga chuo cha propaganda! walio hapa hadi wanaaibisha. Hakuna hoja, kutoa picha ya Mbowe na viroja vingine. Hakuna hard facts, Kikwete alifikia hatua ya kutuma mawaziri kuelezea budget kwa wananchi wakaishiwa kuzomewa.

Wameishiwa na wako desperate.

bi. saddam huyooooooooo........anaendeshwa na dreva wake, anakaribia kushuka kwenye gari, jamani eeh wekeni kapeti jekundu bi. saddam akanyage na maua pembeni ! waimba mashairi kaeni tayari..........

Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi wa nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?
Licha ya elimu ndogo, form six, experience aliyonayo ni ya ukarani tu, BOT. Je hivi vinatosha kuongoza nchi au hata chama cha siasa?
Hivi akina Dr. Slaa, Zitto n.k. wamekubali vipi au wanajisikiaje kuongozwa na mtu wa elimu ya form six?
Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?
 
Kada Mpinzani

Najua Tunakuudhi
Tunakuudhi kwa sababu kazi uliyopewa hujafanikiwa kuifikisha popote
Kazi ya kuwanyamazisha wanaojua la kusema
Kazi ya kuwanyang'anya ujasiri wale wasioko katika kundi la wateule wa CCM
Kazi ya kuwafanya wajione kuwa hawajui wale ambao hawahudhurii vikao vya mafisadi.
Kazi ya kuwafanya wajione inferior wale ambao hawako kwenye diary za MAFISADI.
Kazi ya kuwasahaulisha wazalendo wajibu wao wa kuilinda nchi yao na mali zake
Kazi ya kuwapokonya wazalendo haki ya kuwabana MAFISADI.
KM tunajua tumekuudhi binafsi kwa kuwa KAZI zooooote hizi zimeshindikana kutokana na kimbelembele chetu
Tunajua tunakuudhi zaidi kwa kuwa tutaendelea na kimbelemble chetu hiki mpaka kieleweke.

Sisi tumechagua KUKUUDHI
Wewe weka bayana umechagua nini
 
Wanaochukizwa na juhudi zetu huwa hawajifichi; ni wepesi kudandia na kuteka nyara hoja, kubadilisha kinachozungumza na kutia kiwingu mijadala huru. Hata hivyo hatuwakatazi au kuwanyima nafasi hiyo, tunawapa nafasi ili wao wenyewe kwa hiari yao wejioneshe rangi zao hasa ni zipi.

Wanaoesha kuchukizwa na uwepo wa wale wanaowahoji na kuwafuatilia kwa karibu; wamekwama katika mitego yao wenyewe na wamebakia kutunga visa ili kunasa wanaofikiri wanaweza kunaswa. Lakini kuwepo kwao kati yetu ndiyo uthibitisho halisi wa kwanini mapambano haya ya kifikra ni ya lazima!
 
sawa ...
AmericanCockroach1.jpg
 
Na hii thread imeanzishwa kwa ajili hiyo na unaweza kuona hasira na chuki walizonazo. Wameudhika na kuchukia lakini ndo mwanzo JF is here kuwaumbua.

Asante kamende, nimependa signature yako.
 
Wanaochukizwa na juhudi zetu huwa hawajifichi; ni wepesi kudandia na kuteka nyara hoja, kubadilisha kinachozungumza na kutia kiwingu mijadala huru. Hata hivyo hatuwakatazi au kuwanyima nafasi hiyo, tunawapa nafasi ili wao wenyewe kwa hiari yao wejioneshe rangi zao hasa ni zipi.

Wanaoesha kuchukizwa na uwepo wa wale wanaowahoji na kuwafuatilia kwa karibu; wamekwama katika mitego yao wenyewe na wamebakia kutunga visa ili kunasa wanaofikiri wanaweza kunaswa. Lakini kuwepo kwao kati yetu ndiyo uthibitisho halisi wa kwanini mapambano haya ya kifikra ni ya lazima
!

hii ina tofauti gani na mada uliyoandika wewe ?? kubali tu yote maisha, umetoa mada ya kuwaudhi viongozi lakini wewe ukiudhika basi inakuwa kitaanani,..........ebo, si ndio mada uliyotoa hiyo ! na wewe umeonyesha kuudhika kama mada yako inavyodai na hukujificha !
 
Na hii thread imeanzishwa kwa ajili hiyo na unaweza kuona hasira na chuki walizonazo. Wameudhika na kuchukia lakini ndo mwanzo JF is here kuwaumbua.

Asante kamende, nimependa signature yako.

hii thread ya mwanakijiji nafikiri pia wewe inakuhusu ! maana ni mie pia nimekuudhi na unaonekana umeudhika! bwahahahahaaaaaaaaaa.! i love it !
 
Kadampinzani

Hakuna kosa la wewe kutumiwa na MAFISADI, soma uelewe lugha ndio namekwambia hapo juu jifunze lugha fasaha hapa tunatofautiana katika lugha. Punguza jazba na usome uelewe kinachoongelewa sio kukurupuka.

Angalia mara unatumia kijana halafu mzee.. vipi ulisomea ngumbaru nini? Uzuri wa JF ni kukufahamu ni mtu wa namna gani?
 
Wanaochukizwa na juhudi zetu huwa hawajifichi; ni wepesi kudandia na kuteka nyara hoja, kubadilisha kinachozungumza na kutia kiwingu mijadala huru. Hata hivyo hatuwakatazi au kuwanyima nafasi hiyo, tunawapa nafasi ili wao wenyewe kwa hiari yao wejioneshe rangi zao hasa ni zipi.

Wanaoesha kuchukizwa na uwepo wa wale wanaowahoji na kuwafuatilia kwa karibu; wamekwama katika mitego yao wenyewe na wamebakia kutunga visa ili kunasa wanaofikiri wanaweza kunaswa. Lakini kuwepo kwao kati yetu ndiyo uthibitisho halisi wa kwanini mapambano haya ya kifikra ni ya lazima!

na pia kuonesha tofauti kati ya nia yao na ya wapenda maendeleo ya Tanzania. Haichukui muda kabla hawaruka na kuanza kubandika picha na mambo ya ajabu.

lakini you know what, kadri inavyojulikana kuwa wako hapa, ndivyo nguvu ya kupambana nao inaongezeka. Kwa sababu sasa maadui wanajulikana na wao wameapa kutumia chochote wanachoweza kutumaliza bila kukumbuka kuwa hapa watoto hawalali mpaka Tanzania imekombolewa.
 
Kadampinzani

Hakuna kosa la wewe kutumiwa na MAFISADI, soma uelewe lugha ndio namekwambia hapo juu jifunze lugha fasaha hapa tunatofautiana katika lugha. Punguza jazba na usome uelewe kinachoongelewa sio kukurupuka.

Angalia mara unatumia kijana halafu mzee.. vipi ulisomea ngumbaru nini? uri wa JF ni kukufahamu ni mtu wa namna gani?

Naona pia umekasirika ! na wooote mmeingia kwenye mkenge (hoja ya mwanakijiji) sasa mnakasirika nini kama kweli mmeelewa thread yenyewe ! kama mngeelewa thread msingenikasirikia mimi...... i love it !
 
Kadampinzani

Hakuna kosa la wewe kutumiwa na MAFISADI, soma uelewe lugha ndio namekwambia hapo juu jifunze lugha fasaha hapa tunatofautiana katika lugha. Punguza jazba na usome uelewe kinachoongelewa sio kukurupuka.

Angalia mara unatumia kijana halafu mzee.. vipi ulisomea ngumbaru nini? Uzuri wa JF ni kukufahamu ni mtu wa namna gani?

hii inaonesha jinsi tulivyowaudhi... title ya thread yenyewe inaonesha ni watu wa namna gani hawa... wameudhika na hawataki tena kufuatwafuatwa.

Reasoning ya kawaida hamna....
 
na pia kuonesha tofauti kati ya nia yao na ya wapenda maendeleo ya Tanzania. Haichukui muda kabla hawaruka na kuanza kubandika picha na mambo ya ajabu.

lakini you know what, kadri inavyojulikana kuwa wako hapa, ndivyo nguvu ya kupambana nao inaongezeka. Kwa sababu sasa maadui wanajulikana na wao wameapa kutumia chochote wanachoweza kutumaliza bila kukumbuka kuwa hapa watoto hawalali mpaka Tanzania imekombolewa.

bi. Saddam maskini nae pia kakasirika ! kwani hukuelewa hoja ? sasa unakasirika nini ? thread hii pia inakuhusu wewe ! i love it ! i really do ! duh, kumbe mpo wengi mnaokasirishwa !
 
Naona pia umekasirika ! na wooote mmeingia kwenye mkenge (hoja ya mwanakijiji) sasa mnakasirika nini kama kweli mmeelewa thread yenyewe ! kama mngeelewa thread msingenikasirikia mimi...... i love it !

Mtaudhika na kukasirika lakini kesho mkirudi mtakuta majina yaleyale yakifuatilia nyendo zenu kila muendako. Chuki na hasira zenu hazipunguzi bali zinaongezeka utenda kazi wa JF!

Wataudhika lakini mwishowe watakosa cha kufanya.
 
Hivi kweli watu mnapoteza muda kwa kujadiliana na huyu KadaMpinzani ambaye hana hoja? jamani endeleeni na hoja nzito humu na achana naye kabisa. Ni vema kuendelea na hoja na watu walio na haja ya kuona nchi inasonga mbele kuliko kujibizana na huyu sijui anaitwa kada mpinzani. Nashauri aitwe kada mpinzani wa maendeleo.
Ni ushauri wangu tusipoteze muda wa kubishana naye. Wacha aandike anayotaka na hata matusi yote anayoweza kutoa. Wote tumdharau na mtu asibishane naye hata akiandika upuuzi wake.
 
Back
Top Bottom