Tunawahitaji nyumbani hawa

Tunawahitaji nyumbani hawa

sasa waje huku ili iweje... kwa sauti ya watanzania wenzangu nasema hatuwahitaji tumeshawavua uraia

kenya wanaweza wakawachukua tu wakiwataka maana siwanapenda sana kutuibia vitu vyetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha move ya Undisputed Redemption iliyochezwa kwenye Gereza la Gorie Tbilisi kuna watu wamehukumiwa kwa Double murder and Robbery na hukumu zao ni life and hard work
Hahahaa, nilitaka kuandika hivyo hivyo. Mule mule, I killed to peoples..
 
Hahahaa, nilitaka kuandika hivyo hivyo. Mule mule, I killed to peoples..
Kuna mtu anapiga ngumi hpo anaitwa yuri Boika lkn kwa yule nigga alikubali lile Gereza nilikosea linaitwa Gor Gor ipo Tbilisi Georgia
 
Back
Top Bottom