Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
Hehehee vipi ile kazi yako ya kukimbizana na vibuyu ushaiacha??
Power of love... Nimekuelewa vizuri sana
Power of love... Nimekuelewa vizuri sana
Siku hizi nina wasaidizi[emoji13]
Nafikiri kuwajulisha ndugu kiainaUdhalilishaji sasa huu kwanini wawapige picha warushe mitandaoni.? Maana yake nini?
😂😂😂😂😂😂#BringBackOurMajambazi
Na kweliImesaidia ndugu na jamaa kupata taarifa na ushuhuda upo hapa
Haaaah!! Hizo ni sura za kipole atiiiDuh kumbe majambazi huwa wana sura za kipole hivyo
Hao jamaa ni kweli watu Wa KAZI.tena wana STYLE ZOTE,,UTAPELI NA HATA HOUSE ROBBERY...walikuwa south Africa,,Zimbabwe, Botswana,,NamibiaKwa Malawi navoijuwa wasivopenda wabongo sidhani kama hizo kesi zina ukweli kabisa
Mkuu hao watu ndy issue zao,,na WAMEANZIA SOUTH AFRICA,,,hao wote unaowaona MTANDAO WAO UPO south,,, then wanasambaa ZIMBABWE,, ZAMBIA,,BOTSWANA,NAMIBIA,,,WANA TAPELI dollars,,Euro FAKE..na house robbery ndy zao.....kwa watu Wa cape....hatushangai...Ni kweli walitenda makosa hayo? Au chuki tu za hao jamaa labda kwa kuona hao wabongo wanapiga hatua Kimaisha na kuwaacha wenyeji wakicheza bao na kupangana kwenye vibanda vya sangoma? Maana ndiyo zao mkuu Mshana Jr