Tunavyo vyama vingi, tusiwabembeleze chadema kushiriki uchaguzi

Tunavyo vyama vingi, tusiwabembeleze chadema kushiriki uchaguzi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,091
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki.
FB_IMG_17437681076059637.jpg
 
chadema ni kachama kamoja katika vyama 10+,should not bother!
 
Hiki ni kiburi kilichopitiliza sasa.
 
Back
Top Bottom