Tunauza vitabu vya shule mtalaa mpya

Trumark TZ

Member
Joined
Jun 29, 2025
Posts
12
Reaction score
3
Trumark Stationery & Books ni wakala wa vitabu vyote vya shule vya mtaala mpya.

Ukinunua vitabu kwa wakala una uwezo mkubwa wa kupata punguzo la bei.

Vitabu kuanzia shule ya awali, msingi na Sekondari.

Vitabu vyote vya darasani na mazoezi.

Popote ulipo Tanzania tunakuletea.
Tupigie
0765 76 76 96 ... Stationery
0794 46 76 96 ...Bookshop
0754 095 017 ...ofisi
 

Attachments

  • 20250417_121814.jpg
    680.6 KB · Views: 32
Mnapatikana wapi? Naomba unitajie Title na waandishi wa Vitabu vya History ,Geography na General studies vya kidato cha 5 mtaala mpya mlivyo navyo pamoja na bei zake,navihitaji.
 
Vitabu vya TIE?
 
Kile cha sound and read cha mkenya unauzaje? Book 1.
 
Vitabu vipo wapi???
 
Thanks a lot and mostly welcome
 
Mnapatikana wapi? Naomba unitajie Title na waandishi wa Vitabu vya History ,Geography na General studies vya kidato cha 5 mtaala mpya mlivyo navyo pamoja na bei zake,navihitaji.
Tunapatikana Kimara Stopover kwenye Sheli Mpya ya ATN kushoto barabarani kuelekea Morogoro.

Vitabu vya mtaala mpya ni TIE vya Taasis ya Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…