dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,189
- 2,219
- Thread starter
- #2,301
Hahaa hapana mkuu ninazo mpaka za 10m na kuendeleaHuyu nyumba zake bei huwa inaanzia milioni 800. Hii itakuwa 750!
Hahaa hapana mkuu ninazo mpaka za 10m na kuendeleaHuyu nyumba zake bei huwa inaanzia milioni 800. Hii itakuwa 750!
Hahaaa hii 350mUngemwaga upupu wa bei hapa hapa kila mtu ajikune.
Siunajua tena maisha mkuu anataka kuhamia eneo jingineYani inaonekana mwenye nyumba amejenga kwa kujibana sana huku akiwa na kipato kidogo. Sasa iweje anauza?
Ng'ombe wa masikini hazai
Karibu mkuu ukague nyumba. Vyumbani kuna vitu vya watu kuweka picha kwenye mtandao sio nzuriUngepiga picha na vyumba vyote
Poa sana mkuu nashukru sana. Sema hizi bei zinamaongezi sana tena makubwa siunajua tena wenye mali zao wanapenda tuanzie kama wanavyoona ila wakiona soko limebana huamua kupunguza wenyeweMm ni mtu nayependa kazi zako na huwa nakufatilia sana hadi kule twitter na Instagram. Ila una bei zimechangamka kidogo.
Anyway, una customer care nzuri
Karibu mkuu uwekezeLipo jambo
Mzee nimetafakaria he reply nakosa jibu unabalaaa🤣🤣🤣🤣Milioni 280 napata kiwanja cha hiyo size 870 sqm huko huko Mbweni, na najenga nyumba kama hizo mbili huko huko Mbweni au ghorofa moja.
Kiwanja 100m, nikikubali kulaliwa
Nyumba mbili kama hizo @ 90m = 180m au ghorofa la 180m, li kathiri la kufa mtu
So why the hell shud I buy that thing at that ridiculously overblown price ?
Kata hiyo bei nusu ndio iwe bei ya kuanzia.
Mkuu ukumbuke hiki kiwanja ni cha biasha kiko kwenye lami, hiyo bei ni ya manunuzi tu ya kiwanja. huwezi linganisha na huu uchambuzi wako. Ila yote kwa yote waswahili tunasema kupanga nikuchaguaMilioni 280 napata kiwanja cha hiyo size 870 sqm huko huko Mbweni, na najenga nyumba kama hizo mbili huko huko Mbweni au ghorofa moja.
Kiwanja 100m, nikikubali kulaliwa
Nyumba mbili kama hizo @ 90m = 180m au ghorofa la 180m, li kathiri la kufa mtu
So why the hell shud I buy that thing at that ridiculously overblown price ?
Kata hiyo bei nusu ndio iwe bei ya kuanzia.
Karibu ukague eneo mkuuYani hilo Pagala ndio unauza 280m????
Poa mkuuAhsante kwa taarifa...