dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,200
- 2,225
- Thread starter
- #161
Kweli mkuu bei imechangamka ila ina maongeziBei imechangamka, kila rakheri!
Kweli mkuu bei imechangamka ila ina maongeziBei imechangamka, kila rakheri!
Hahaaa hatari tupu mkuu ila ndio ivyo tutafanyaje sasa inabidi tu Maisha yaendeleekwa wakati huu wa awamu ya 5 na Corona?
Majambazi yapo kila mahaliAcre moja sawa na sqm 4047, kwa bei ya mil 800 kwa eka 3 ni sawa na eka moja kuuza kwa mil 270.
Asante sana mkuu kwa hiki kikokotooAcre moja sawa na sqm 4047, kwa bei ya mil 800 kwa eka 3 ni sawa na eka moja kuuza kwa mil 270.
Mkuu kwa maeneo hayo hata tukikata viwanja hiyo bei inazidi.thamani ya hapo nikubwaAsante sana mkuu kwa hiki kikokotoo
Google unaifanyia kazi gani?In $s please ..!!
Hahaaa umetisha mkuu,ngoja itabidi nifanye hivyoDuh hebu tupia na picha ya ndani tuone hasa choo...Isije kuwa alilalamo Von Bismarck alipokuja bongo
Aiseeh kweli kabisa ndugu yaani Maisha tunatifautiana sanaM670 Mbagala nintakuwa na estate yangu
275,000$In $s please ..!!
Ngoja nikuonyeshe shamba lake kwa upande wa nyuma ya nyumbaDuh hebu tupia na picha ya ndani tuone hasa choo...Isije kuwa alilalamo Von Bismarck alipokuja bongo
Kweli kabisa mkuu na asante sana.Hiyo bei kwa mbezi beach ni bei ya kawaida sana kwa mjengo kama huu.
Kweli eeh! Duh umetishaMbona iko ka makumbusho ya Bagamoyo?