Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Picha zaidi za nyumba
20200413_112731.jpg
20200413_112704.jpg
20200413_112706.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo conclusion ni hatari kibiashara! Ni hatari kwa sababu Ununio sio mtaa bali ni kitongoji, na kwa maana hiyo Ununio ni kubwa!!

Mtu anayeweza kuifahamu Ununio yote ni mkazi wa miaka mingi wa Ununio na sio anayeenda Ununio mara moja moja au mpita njia labda kama unataka kusema wenye hela wote wanakaa Ununio!

So, utakuwa sahihi endapo tu wenye hela wote wanakaa Ununio!!

Na hata huyo anayeifahamu Ununio yote bado atataka kufahamu Ununio sehemu gani!

Kwa mfano tukichukulia pale ilipo Shule ya Kiislamu na kule liliko Soko la Samaki... zote si zipo Ununio zile?! Hivi unaamini maeneo haya mawili yanaweza kuwakilisha interests sawa za mnunuzi?!

Tuache Ununio na twende sehemu ambayo majority watakuwa wanaifahamu!

Tukisema Makao Makuu ya Simba Sports Club yapo Kariakoo na Msikiti wa kwa Mtoro upo Kariakoo tutakuwa tumekosea?!

Unaamini interests zilizo yalipo HQ ya Simba SC ni sawa na kule kwa Mtoro?!

Ukitangaza unauza nyumba Kariakoo utamshangaa mtu atakayeuliza Kariakoo sehemu gani?!

Let's be serious bhana! Mi mtu hata akinitangazia kijijini kwetu anauza nyumba lazima nitataka kufahamu ni sehemu gani; seuze Ununio!!
Kweli na huo ni wajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba ya ghorofa inauzwa Ununio.

Sifa zake ni:
  • Ina ina vyumba vitano vya kulala na kati ya hivyo 2 ni self.
  • Na pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba 2 na choo chake
  • Size plot 1000 SQM
Bei: 450m bei hii ina maongezi.

More information call me 0756060183

20200509_114432.jpg
20200509_114419.jpg
20200509_114208.jpg
20200509_114257.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba ina vyumba vitano na kati ya hivyo 2 ni self.
Na pia kuna nyumba ya chumba na sebule na choo chake kwa nyuma.

Size plot 1000 SQM
Bei 450m

Bei hii ina maongezi
Na zaidi ongea nami kwa 0756060183

20200509_114432.jpg
20200509_114301.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuma ya kazi iko kwenye hali nzuri sana na imekaza kila mahali na iko tayari kwa safari mahali popote.132,028km

Bei yake 8.5m
Gari iko DSM

Maongezi zaidi 0756060183

20200524_164101.jpg
20200524_164056.jpg
20200524_163915.jpg
20200524_163739.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 20200524_163754.jpg
    20200524_163754.jpg
    117.8 KB · Views: 8
Plot inauzwa ipo Goba jirani na Goba Sheli. Ina ukubwa wa 3.16 Acres fenced. Ina title deed... Bei Tzs million 800 maongezi yapo
Panafaa kujenga shopping mall.

Maongezi zaidi +255756060183.

IMG-20200527-WA0084.jpg
IMG-20200527-WA0083.jpg
IMG-20200527-WA0082.jpg
IMG-20200527-WA0080.jpg
 
Back
Top Bottom