Umemaliza kila kitu mkuu,Kwa hizo pic ulizopost ni chache sana afu hujaziwekea bei mfano mashati nk, hujasema duka liko wapi ili mteja aje achague mwenyewe na sio kila mteja atapenda kuletewa au kutumiwa. Pia umesema kwa dar ukiletewa unachangia gharama za usafiri ni usafiri upi unaoutumia, boda tax au private car
Kwa ufupi ni Hajajipanga
Kwa sababu ameleta humu tangazo ni vema akazingatia ushauri wawadau
Bado ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi