dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,532
Hata kabla hujaleta Tangazo lako humu wateja walikuwa wanakutiririkia na humu watu kuna mahali wananunuaga ila umekuja kuwataka waache kununua huko badala yake waje kwako ndio wanataka kujua kama kuna utofauti wwt kati ya huko wanakonunua na kwako jibu kama mfanyabiashara sio wa Mipasho vinginevyo ungebaki na Biashara yako huko mtaani . .Kuipata hela ya Mtu lazima ueleweke sio blah blahWanunuzi tayari wanatiririka Mkuu, shukrani kwa mchango wako hapa.