Madalali wa magari kwa nini lakini

Madalali wa magari kwa nini lakini

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,361
Reaction score
4,105
WADAU,
Nimeona SUZUKI ALTO MOJA YENYE CC 660 SAWA NA (GX 3,CARINA MBILI KWA UDOGO WA INJIN) ,YA MWAKA 2008 BEI CHINI YA DOLA 1000.SPIDI MWISHO 140,NYEUPE, http://www.tradecarview.com/used_car/japan%20car/suzuki/alto/14491940/.SASA NIKAAMUA KUMPIGIA DALALI MMOJA ILI ANIJUZE BEI(MARKET PRICE) YAKE HAPA DAR NI KIASI GANI ILI NIJIPIME KWANI KWA HILI JOTO NA FOLENI ZETU ZA MAENDELEO TARAJIWA NA BEI YA PETROL KARIBU 2200 KWA SASA.KUMPIGIA NENO LA KWANZA HIYO SIO GARI YA KUNUNUA ,NA SIO GARI ,NKAMWAMBIA MBONA KILA SIKU NI TOYOTA TU KWANINI HAMPENDI UJALIBU UPANDE WA PILI.OK ZINAUZWAJE HAPA MJINI AU UNAJUA GARI HIZO MM SIJAWAI UZA.LABDA NIKUULIZIE .
BAADA YA DK 10 ANANIAMBIA KUNA SPACIO CC ZAKE NI KAMA STARLET SPEA ZINAINGILIANA NA PIA BEI CHEE ,KAMWAMBIA SPACIO NI CC 1600.NA STARLET NI 1300 .HAMNA ZOTE SAWA TU SEMA BODY YA SPACIO INA NAFASI.
NINACHOHITAJI KUTOKA KWENU WADAU NI BEI YA ALTO HAPA TANZANIA MAANA PRESHA YA KUNGOJA/KUAGIZA SIIWEZI.PILI WHY TOYOTA IN TANZANI?
 
Mkuu jitahidi kila unachotaka kununua uwende mwenyewe fronti usiwe unasikiliza sana maneno ya madalali
 
acha woga, ingia hapo befoward unakamata gari yako kwa uhakika mkuu, achana na mambo ya madalali au yard za bongo utakuja kulizwa bureeeeee, watu wanatoa spare ariginal wanaweka kanyanga
 
Suzuki Alto ambayo haijatumika Tanzania kwa bei za Dar es Salaam in kati ya shilingi milioni 6.5 na milioni 8. Nakubaliana na mdau aliyetangulia kwamba kama unatafuta gari ni bora uhangaike mwenyewe kwenye hizi 'showroom' zetu kuliko kutegemea madalali ambao wengi wao ufahamu wao kuhusu magari ni mdogo sana. Wao kazi yao ni kuzidisha bei ili wapate pesa. Kama huyo aliyedai kuwa Spacio na Starlet zina injini ya aina moja inaelekea hajui lolote kuhusu magari.
 
BAHATI nzuri safari hii naangalia trade car view link inayodeals na magari tatizo sijapata watu wa KUNIAMINISHA kwamba kwa dola 700 bei ya kule mpaka bongo jumla ngapi ntakuwa nimetoa ndio sijpata.
 
We jitose tu, achana na akilizilizogandishwa hapa bongo za sijui verosa, altaza, carina etc. Mafundi wetu pia ni wachovu wanaogopa gari zinazotumia umeme mwingi hasa gearbox ndio maana wanakimbilia rahisi kutengeneza na spea nyingi kariakoo kama toyota. Magari mengine kweli spea ni ghali lakini sio kihivyo, pia ukitengeneza/badilisha inadumu muda mrefu, toyota atabadili mara 4 na ya 5 ndio mnabadilisha wote. Pia nimegundua toyota nyingi zinakunywa mafuta zaidi ya hayo tunayoyagopa. Waeneza huo uongo wakubwa ni hao wavivu wanaoitwa madalali
 
hapa nilipo nina gari lakin nlinunua kwao na walikana sana engine ya D-4 wakati nataka kununua vista,sasa hv najiamin ya kwamba kwa gari hizi Suzuki nazo zimo sokoni na sioni sababu ya kutoendesha gari ndogo kama piki piki na A/C full time .kuagiza sasa ndio kunapamba moto tatizo wa kuniaminisha ndio maana napenda ninunue baada ya kukagua physical
 
Nisawa na zamani watu walikariri kununua nokia ila nw zipo aina kibaooo!so ww unachokipenda ukina wakimudu nunuaaa achana na hbari za kukariri toyota

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom