Tunatoa ushauri kuhusu madini

Oct 12, 2014
76
45
Tunatoa huduma ya Ushauri kwa Kampuni au watu binafsi wanaojihusisha na Uchimbaji na Uchenjuaji wa madini (mining and mineral processing). Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na Coal. Mfano, Ore yako ina mchanganyiko wa dhahabu na copper na nia yako kubwa ni kupata dhahabu tu, then tutakuongoza katika njia sahihi ili uweze kupata dhahabu unayohitaji. Pia, kama unapata poor recovery katika Plant/Mgodi wako, then tutakupa ushauri ni njia gani ya kuongeza recovery na kukushauri kuhusiana na Kemikali sahihi za kutumia katika mgodi wako.

Tunatoa huduma nyingine mbalimbali ikiwemo training zinazohusiana na Mining, Mineral Processing/Extractive Metallurgy kwa Kampuni, Taasisi au mtu binafsi.
Gharama zetu ni nafuu sana na kampuni ina Engineers waliokaa katika sekta ya Madini kwa zaidi ya miaka 8.

Ofisi zetu zipo maeneo ya Boko karibu na kituo cha Mabasi cha California.

Karibuni sana

Mawasiliano 0738 97 49 33
 
Back
Top Bottom